Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Waziri Prof Kabudi ameuliza swali zuri sana kwamba.......Mbona Dream liner zote mbili zilizotokea Marekani zilifika salama hazikukamatwa??.......kulikoni Canada?
Waswahili walisema " kikulacho ki nguoni mwako".......Prof aliangalie jambo hili kwa umakini mkubwa maana hawa wapinzani wa kisiasa wa hapa Bongo pamoja na usaliti wao ujanja wao unaishia humu humu ndani labda kidogo wanaishia SA.
Swali lako Prof Kabudi ni la maana sana........Kwanini Canada?
Maendeleo hayana vyama!
Marekani huwezi zuia hizo ndege maana haipo Jumuia ya Madola!
Canada unaweza maana shauri lilikua SA kwahiyo Canada ikawa ni muendelezo!
Hizo sababu zako za kuvujisha siri ni za kipumbavu!
Kuna siri kwenye biashara za kimataifa?
Hizi sio nyanya sokoni!