Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Aliyetangaza kuwa serikali imeingia mkataba na kampuni ya Bombadia kununua ndege mwaka huu ndiye aliyetoa siri, haya yote ni bure serikali imlipe deni iachane na mtindo wa mdaiwa kubadili njia, huo ni uswahili.Waziri Prof Kabudi ameuliza swali zuri sana kwamba.......Mbona Dream liner zote mbili zilizotokea Marekani zilifika salama hazikukamatwa??.......kulikoni Canada?
Waswahili walisema " kikulacho ki nguoni mwako".......Prof aliangalie jambo hili kwa umakini mkubwa maana hawa wapinzani wa kisiasa wa hapa Bongo pamoja na usaliti wao ujanja wao unaishia humu humu ndani labda kidogo wanaishia SA.
Swali lako Prof Kabudi ni la maana sana........Kwanini Canada?
Maendeleo hayana vyama!
SERIKALI IMLIPE MKULIMA ANACHOKIDAI TANGU AKIWA KIJANA ANACHEZA TWIST PALE ARUSHA BY NIGHT CAVE KWA MAREHEMU CHOGGY SLAY.