Ni nani huyu anayevujisha habari za Serikali yetu kule Canada?!

Ni nani huyu anayevujisha habari za Serikali yetu kule Canada?!

1574572824502.jpeg
 
Pasco Uneshindwa kusema chochote japo kumuunga Mkono Rais lkwa Ndege kukamatwa Hata pole jamani!
Pole kwa Rais wa JMT kwa ndege yake kukamatwa.
Pole kwa Waziri Kabudi kwa TZ kusalitowa.
Pole kwa Waziri Mahiga kwa mateso kutuma vijana Canada
Pole kwa serikali yetu yote kwasababu ndege ni ya serikali.
Pole kwa CCM, kwasababu serikali ni ya CCM.
Pole kwa wanasheria watakaoteseka.
Pole kwa ATC ndege yao kukamatwa hivyo kuchelewesha kupiga pesa.
Pole kwa sisi Watanzania wote kwa ndege yetu kukamatwa na kututia hasara ambayo ni sisi tutaifidia.
Ndege ni rais Magufuli kwasababu ndiye aliyeamua kuinunua kwa cash money.
Ndege ni ya serikali kwasababu inamilikiwa na serikali 100%.
Ndege ni ya ATCL kwasababu ATCL ndio wanaitumia.
Ndege ni ya Sisi Watanzania wote kwasababu fedha zilizonunulia ni fedha zetu, na sisi ndio tunaoipanda.

Pole wote
P
 
Hapa ndo pakuanzia. Haiwezekani mtu mmoja akashindana na serikali nzima kwa kushirikiana na serikali za mataifa makubwa. Huo ushawishi unatokea wapi?
Kuna Kitu Kipo Sehemu Ila Itajulikana, Siyo Rahisi Anakofika Mkulima Serikali Za Mabeberu Zinampokea Kwa Vicheko 😀😁😂😃😄😅Halafu Zinamuonyesha Mali Za Tanzania
 
Una uhakika gani kama huyo waziri hauzi habari kwa wadai wetu ili apate safari za kwenda kusuruhisha tatizo hewa?
Hana Lolote, Muda Huu Nadhani Atalipa Fidia Serikali Ya Viwanda Haiwezi Kuvumilia Ujinga
Jambo Hilo Hilo Kila Mara Na Ameshindwa Hadharani

Waziri Naye Ajitafakari Sana Kuhusu Ambassador Asijekuwa Anatumika
 
Mkulima ni nani,
Nani aliopo nyuma ya mkulima,
Nani aliyempa taarifa kama ndege yetu ipo kanada na itatoka na tarehe hiyo.
Ni wakati mzuri wa kushughulika nao.
WAKIWEKA UGOKO WEKA CHUMA!
....on the same token, wakolomije ni nani hasa hata kufikia kujimilikisha nchi yetu?!!
 
Wewe unamdharau mkulima wakati wazazi wako woote ni wakulima?
Mkulima ni nani,
Nani aliopo nyuma ya mkulima,
Nani aliyempa taarifa kama ndege yetu ipo kanada na itatoka na tarehe hiyo.
Ni wakati mzuri wa kushughulika nao.
WAKIWEKA UGOKO WEKA CHUMA!
 
Hata mimi ni mkulima isipokuwa anataka kujaribu kutuyumbusha ole wao vibaraka waliopo nyuma yake!
Yule Mkulima Anatakiwa Ndege Anayoipanda Iwe Via Julius Nyerere International Airport. Akifika Dar es salaam Tumkamate Akale Ndani
 
Hana Lolote, Muda Huu Nadhani Atalipa Fidia Serikali Ya Viwanda Haiwezi Kuvumilia Ujinga
Jambo Hilo Hilo Kila Mara Na Ameshindwa Hadharani

Waziri Naye Ajitafakari Sana Kuhusu Ambassador Asijekuwa Anatumika
Balozi hata miezi 3 hana mnataka mwingine.basi aende magufuli wenu mwenyewe huko kanada akawe bolozi.Bullshit.!
 
Waziri Prof Kabudi ameuliza swali zuri sana kwamba.......Mbona Dream liner zote mbili zilizotokea Marekani zilifika salama hazikukamatwa??.......kulikoni Canada?

Waswahili walisema " kikulacho ki nguoni mwako".......Prof aliangalie jambo hili kwa umakini mkubwa maana hawa wapinzani wa kisiasa wa hapa Bongo pamoja na usaliti wao ujanja wao unaishia humu humu ndani labda kidogo wanaishia SA.

Swali lako Prof Kabudi ni la maana sana........Kwanini Canada?

Maendeleo hayana vyama!
Jiwe la Lumumba..Chanzo kikubwa ni kujimwambafay kwamba sisi ni matajiř tunanunua ndege cash huku tunadaiwa yey akifikir kwamba mabeberu hawàmsikilizi au hawajui kiswahili. Achane na habar za kujimwambafay kulikopitiliza. Mim nasema yey na serkali yake ndo chanzo. Angèkua mtu anayeshaurika na ana nia njema angeachana na biashara ya ndege haina tija zaid ya sifa za kisiasa tu.
 
Mkulima ni nani,
Nani aliopo nyuma ya mkulima,
Nani aliyempa taarifa kama ndege yetu ipo kanada na itatoka na tarehe hiyo.
Ni wakati mzuri wa kushughulika nao.
WAKIWEKA UGOKO WEKA CHUMA!
Serikali na jiwe waliitangazia dunia kuwa mwezi Novemba inakuja bombadier Q400.Msitafute mchawi. Sikiliza video hii

Mkulima ni nani,
Nani aliopo nyuma ya mkulima,
Nani aliyempa taarifa kama ndege yetu ipo kanada na itatoka na tarehe hiyo.
Ni wakati mzuri wa kushughulika nao.
WAKIWEKA UGOKO WEKA CHUMA!
Hivi dawa ya deni si ni kulipa?
 
Waziri Prof Kabudi ameuliza swali zuri sana kwamba.......Mbona Dream liner zote mbili zilizotokea Marekani zilifika salama hazikukamatwa??.......kulikoni Canada?

Waswahili walisema " kikulacho ki nguoni mwako".......Prof aliangalie jambo hili kwa umakini mkubwa maana hawa wapinzani wa kisiasa wa hapa Bongo pamoja na usaliti wao ujanja wao unaishia humu humu ndani labda kidogo wanaishia SA.

Swali lako Prof Kabudi ni la maana sana........Kwanini Canada?

Maendeleo hayana vyama!
Dawa ya deni ni kulipa. Maswali mengine muulizeni Dr. Mihogo
 
Back
Top Bottom