Ni nani huyu anayevujisha habari za Serikali yetu kule Canada?!

Prof. Kabudi ni mwalimu wangu, anajua kabisa justice system ya US sio common law system hivyo foreign awards za common law are only applicable kwenye commonwealth countries. Ndio maana baada ya South Africa ni Canada, wanasubirua safari za Mumbai na UK. US na China ni salama kabisa na Kabudi analijua hili vizuri tuu.
.
P
Mkuu mbona Mumbai mwewe wetu anaenda kama kawaida hadi sasa?
Hivyo ndivyo nilivyopata taarifa kutoka kwa supplier wa ATCL.
 
Waziri Prof Kabudi ameuliza swali zuri sana kwamba.......Mbona Dream liner zote mbili zilizotokea Marekani zilifika salama hazikukamatwa??.......kulikoni Canada?

Waswahili walisema " kikulacho ki nguoni mwako".......Prof aliangalie jambo hili kwa umakini mkubwa maana hawa wapinzani wa kisiasa wa hapa Bongo pamoja na usaliti wao ujanja wao unaishia humu humu ndani labda kidogo wanaishia SA.

Swali lako Prof Kabudi ni la maana sana........Kwanini Canada?

Maendeleo hayana vyama!
Wakati mwingine akili yako huwa inapinda (inagota) sana.

Hapa unachochea nini kwa mada hii?
 
Kuna swali huku Wana jamvi
Screenshot_20191124-003428.jpeg
 
Waziri Prof Kabudi ameuliza swali zuri sana kwamba.......Mbona Dream liner zote mbili zilizotokea Marekani zilifika salama hazikukamatwa??.......kulikoni Canada?

Waswahili walisema " kikulacho ki nguoni mwako".......Prof aliangalie jambo hili kwa umakini mkubwa maana hawa wapinzani wa kisiasa wa hapa Bongo pamoja na usaliti wao ujanja wao unaishia humu humu ndani labda kidogo wanaishia SA.

Swali lako Prof Kabudi ni la maana sana........Kwanini Canada?

Maendeleo hayana vyama!
Scapegoat.
Anayedai atakosaje kujua anadai nn?
Akili za kushikiwa! Mara ngapi mnatangaza ujio wa ndege mpya. Inafanywa siri watu wanapojazana uwanja wa ndege kuzipokea?
 
Halafu prof. anashindwa kungamua kuwa inategemea na sheria za nchi husika.
 
Prof. Kabudi ni mwalimu wangu, anajua kabisa justice system ya US sio common law system hivyo foreign awards za common law are only applicable kwenye commonwealth countries. Ndio maana baada ya South Africa ni Canada, wanasubirua safari za Mumbai na UK. US na China ni salama kabisa na Kabudi analijua hili vizuri tuu.
.
P
Kelele za nini lipeni deni.
 
Mkulima ni nani,
Nani aliopo nyuma ya mkulima,
Nani aliyempa taarifa kama ndege yetu ipo kanada na itatoka na tarehe hiyo.
Ni wakati mzuri wa kushughulika nao.
WAKIWEKA UGOKO WEKA CHUMA!
 
Hana Lolote, Muda Huu Nadhani Atalipa Fidia Serikali Ya Viwanda Haiwezi Kuvumilia Ujinga
Jambo Hilo Hilo Kila Mara Na Ameshindwa Hadharani

Waziri Naye Ajitafakari Sana Kuhusu Ambassador Asijekuwa Anatumika
 
Huyu mkulima ni msumbufu sana. Halafu anaweza vp kuishawishi mamlaka zifanye haya?
 
Back
Top Bottom