ighaghe
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,286
- 3,203
Ok'itafahamika tuAna akili timamu ndio maana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok'itafahamika tuAna akili timamu ndio maana
kumbe mnamjua ni mropokaji eeeLoo Usalama wa taifa na jeshi muonyeni Magufuli Aache uropokaji .mkuu wa majeshi nenda kamwambie hiyo Ni kazi yako .Sio kila kitu Cha kuongea kwenye majukwaa.TISS mumlazimishe awe anasoma hotuba za kuandikwa ili asivuke mipaka huyo.
Naamini wakati huo alipokuwa mwl wako hakuwa jalalani, Mwaka mmoja au miwili iliyopita aliokotwa jalalani,do you think mpaka huyo mwalimu wako kwenda kuishi jalalani alikuwa bado na akili zake zile zile? unless ziwe zimemrudia otherwise kama ziliruka mazima kujua kuwa justice system ya US ni tofauti na ile ya commonwealth countries na ndo maana ndege zetu hazijakamatwa US ni ngumu sanaProf. Kabudi ni mwalimu wangu, anajua kabisa justice system ya US sio common law system hivyo foreign awards za common law are only applicable kwenye commonwealth countries. Ndio maana baada ya South Africa ni Canada, wanasubirua safari za Mumbai na UK. US na China ni salama kabisa na Kabudi analijua hili vizuri tuu.
.
P
poleMarekeni na kanada mbona kitu kimoja yaan canada ni kama jimbo la 53 la marekani
Waziri Prof Kabudi ameuliza swali zuri sana kwamba.......Mbona Dream liner zote mbili zilizotokea Marekani zilifika salama hazikukamatwa??.......kulikoni Canada?
Waswahili walisema " kikulacho ki nguoni mwako".......Prof aliangalie jambo hili kwa umakini mkubwa maana hawa wapinzani wa kisiasa wa hapa Bongo pamoja na usaliti wao ujanja wao unaishia humu humu ndani labda kidogo wanaishia SA.
Swali lako Prof Kabudi ni la maana sana........Kwanini Canada?
Maendeleo hayana vyama!
Kwa maana nyingine Kabudi anatudanganya wazi wazi?Prof. Kabudi ni mwalimu wangu, anajua kabisa justice system ya US sio common law system hivyo foreign awards za common law are only applicable kwenye commonwealth countries. Ndio maana baada ya South Africa ni Canada, wanasubirua safari za Mumbai na UK. US na China ni salama kabisa na Kabudi analijua hili vizuri tuu.
.
P
Jiwe fukuzilia mbali huyu mpumbavu kabudi uliyemwokota jalalani anakudaganya nawe unadaganyika had I aibu.kumbe hajui Canada ipo Commonwealth sasa ngoja yatokee India pia in Commonwealth wanaenda kamata Dreamliner.ubabe hausaidiiKwamba hajui kuwa Tanzania ni mwanachama wa Commonwealth? Ni mwanasheria gani huyu? Taratibu za Commonwealth kuhusu mambo ya case yanasemaje?Huyu kweli ni majalala
Ha ha ha mwache Mzee wetu sasa hivi anakula kuku kwa mrija...moshi wa mabomu sasa hivi unampita kando.labda dr slaa
Majaji wa India nawaaminia sana kwani hawaangalii sura ya mtu wala cheo chake. Hata Waziri Mkuu wao akiingia katika 18 zao anapigishwa kwata.Prof. Kabudi ni mwalimu wangu, anajua kabisa justice system ya US sio common law system hivyo foreign awards za common law are only applicable kwenye commonwealth countries. Ndio maana baada ya South Africa ni Canada, wanasubirua safari za Mumbai na UK. US na China ni salama kabisa na Kabudi analijua hili vizuri tuu.
.
P
Jpm mwenyewe alitangaza mbele ya wananchi na vyombo vya habari ujio wa ndege hii na mahali inapotengezwa, sasa mnamtafuta nani?Tutajua tu
Waziri Prof Kabudi ameuliza swali zuri sana kwamba.......Mbona Dream liner zote mbili zilizotokea Marekani zilifika salama hazikukamatwa??.......kulikoni Canada?
Waswahili walisema " kikulacho ki nguoni mwako".......Prof aliangalie jambo hili kwa umakini mkubwa maana hawa wapinzani wa kisiasa wa hapa Bongo pamoja na usaliti wao ujanja wao unaishia humu humu ndani labda kidogo wanaishia SA.
Swali lako Prof Kabudi ni la maana sana........Kwanini Canada?
Maendeleo hayana vyama!
Waziri Prof Kabudi ameuliza swali zuri sana kwamba.......Mbona Dream liner zote mbili zilizotokea Marekani zilifika salama hazikukamatwa??.......kulikoni Canada?
Waswahili walisema " kikulacho ki nguoni mwako".......Prof aliangalie jambo hili kwa umakini mkubwa maana hawa wapinzani wa kisiasa wa hapa Bongo pamoja na usaliti wao ujanja wao unaishia humu humu ndani labda kidogo wanaishia SA.
Swali lako Prof Kabudi ni la maana sana........Kwanini Canada?
Maendeleo hayana vyama!
Si ndio hapo kwanza haya mashirika yanayotengeneza ndege huwa wanatangaza kwenye website zao orders ambazo wanazo na expected date ya kudeliverHivi kwamba tunanunua ndege nayo ni siri ya kuvujishwa? Au mi ndo sijaelewa?
Duh, kweli dunia ni duara.Loo Usalama wa taifa na jeshi muonyeni Magufuli Aache uropokaji .mkuu wa majeshi nenda kamwambie hiyo Ni kazi yako .Sio kila kitu Cha kuongea kwenye majukwaa.TISS mumlazimishe awe anasoma hotuba za kuandikwa ili asivuke mipaka huyo.
We huoni tatizo? Huoni kuna jambo haliko sawa? Nchi kama Tz inapangiwa mipango, ndege ya raia wake inakamatwa na kuzuiwa. Halafu anayefanya hayo ni mkulima mmoja? Mkulima hawezi kuwa na hiyo inteligensia ya juu hivyo. Kuna watu nyuma yake.Jpm mwenyewe alitangaza mbele ya wananchi na vyombo vya habari ujio wa ndege hii na mahali inapotengezwa, sasa mnamtafuta nani?
Upuuzi mtupu,yaani nyie kila kitu serikali ikifanya mnapost na kusifia,si mlijitangaza kwamba kuna ndege itakuja kutoka canada? Kwani styne hajui kwamba kuna ndege zetu zipo canada? Si mlimlitea figisu south africa? Si ameenda canada? Na mkishinda canada anaenda kufungua nchi nyingine ambapo ndege zetu zinafanya biashara,South africa mlimshinda kwa technicalities za kisheria na ndio maana hampeleki ndege South,Kama msimpomlipa Styne fedha zake hizo ndege zenu zitafanya safari Dodoma na Chato tu basi.Waziri Prof Kabudi ameuliza swali zuri sana kwamba.......Mbona Dream liner zote mbili zilizotokea Marekani zilifika salama hazikukamatwa??.......kulikoni Canada?