Ni nani huyu anayevujisha habari za Serikali yetu kule Canada?!

Nami nashauri mzungu tukae naye na pia tulipe deni. Ile BARUA ya kizungu alitumia Mwandiko mzuri sana. Kwa upoleeee, wakisoma wenzake lazima wamelewe
 
Mkulima tumemshinda mara mbili tena kule kule kwao........hapa kuna manyang'au yanacheza michezo humu humu bongo!
Hapa inazungumziwa ndege sio baiskeli ama mkokoteni. Haiwezekani mtu awe anakamata hovyo hovyo midude ya mapesa mengi namna hiyo, hili ni tatizo kubwa ambalo linahitaji taarifa za kina, sio tu maneno mepesi mepesi kwamba tumemshinda, mara kuna wasaliti wanatoa siri. Kama mmemshinda ni ushindi wa aina gani? Amelipwa pesa zake? Ama kuna makubaliano gani? Kwa nini anaendelea kuzikamata?
 

Pascal,
Inakuwaje mwalimu wako alikugawia akili zote na yeye kubakia mtupu?Au uteule wa homeboy umemgeuza kuwa zuzu?
Hebu m-text basi ili akili imrudie
 
Mh labda aliyevujisha ni Mheshimiwa barozi wa Canada .maana profesa alimwita kumhoji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…