Ni nani huyu anayevujisha habari za Serikali yetu kule Canada?!

Serikali ijikite kwenye Simu na email na Simu za kwenda kwa Lisu na kwenda kwa diaspora toka nchini.TCRA chekini Email na Simu zote za Tanzania zilizokwenda kwa Lisu au nje ya nchi nchi yeyote miezi miwili kabla ndege kushikwa
 
Dawa ya deni kulipa. Kuna msemo unasema ukitaka ubaya dai chako. Bwana mkulima anadai chake mnamuona mbaya tayar
 
Hiyo alifanya masters/PhD lakini bachelor ni general hivyo alisoma hata sheria za kimataifa.
muda mwingi amefanyia kazi family law ,hajawa kabisa field yeye ni maresearch ya talaka na katiba ,tofauti na Fatma karume yeye kasoma mengi pia ila amebobea field hasa bussness law ,makesi mengi ya mabeberu kutudai anayashikilia yeye .kabudi hajawahi siamama mahakama za kidunia kama kina lissu ye ni mavyuo tu.Japo nakiri is one of the cream heads in UDSM HISTORY ila siasa na njaa vimeua jina lake
 
Loo Usalama wa taifa na jeshi muonyeni Magufuli Aache uropokaji .mkuu wa majeshi nenda kamwambie hiyo Ni kazi yako .Sio kila kitu Cha kuongea kwenye majukwaa.TISS mumlazimishe awe anasoma hotuba za kuandikwa ili asivuke mipaka huyo.
 
Kweli huyu prof kaokotwa jalalani,kwamba prof jalalani anaamini mauziano ya ndege kati ya kampuni ya Bombadier na Tanzania ni siri kati ya muuzaji na mnunuaji? bei tu ndo inaweza kuwa siri ila si manunuzi na delivery date labda kama damu inatakiwa basi tumtafute tu msaliti ili tutoe sadaka
 
Kwa hiyo anapojifanya kushangaa anatuzuga tu?
 
Jiwe, uwa anatangaza akiwa Live kwenye Tv zinduzi za ujao wa ndege mpya pale Airport, kwamba ameshalipia ndege nyingine zinatengenezwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…