Ni nani huyu Waziri Rajab Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia?

Ni nani huyu Waziri Rajab Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia?

Hivi mbona mume wa Rais haonekani sana kama walivyokuwa wake wa marais 🤔🤔🤔
mwanaume lazima uilinde hazi yako otherwise utajishushia hadhi kwa mke wako , maana hata maandiko yanasema tuishi nao kwa akili ,naona mme wake ameona ni kama atakuwa anajichoresha kwa watanzania na kingine hawa wanawake zetu si akili zao si unazijua akijua yeye ndio kila kitu hadhi yako kama mwanaume inapotea, hata kama anao uwezo wa kununua mahitaji kamwe usiruhusu awe dominant ili sauti yako kwake iwe na nguvu kama kichwa cha familia.
 
Back
Top Bottom