Ni nani huyu Waziri Rajab Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia?

Mkono wa kuume wa mama
1730097783908.jpeg
 
Kama ilivyokuwa kwa Nguza Samike katibu binafsi wa Rais Magufuli na sasa tuna Waziri Rajab Salum katibu binafsi wa Rais Samia.

Huyu ndiye mtendaji wa shughuli zote binafsi za Rais Samia katika masuala ya utawala na serikali.

Huyu ndiye mwandishi wa hotuba za Rais, hivyo Rais siku akipatia credit ziende kwa huyu mwamba na akiskosea pia ni hivyohivyo.

Kwasasa viongozi wengi hasa wabunge wamekuwa wakimpost huyu jamaa kupitia mitandao yao ya kijamii ili tu kuweka mazingira yao ya kisiasa vizuri.

Mwenye CV anaweza kuleta ili tunjue kwa undani.

View attachment 2909032View attachment 2909033View attachment 2909034
Kwa haraka haraka bila kupepesa macho hawa ni wapenzi/michepuko. Rais wetu amefanywa lishangazi!!
Huyu mshirikina keshammaliza rais wetu kwa ndumba!
 
Ngusa Samike hakuwa Katibu binafisi wa Rais,alikua Mnikulu! Katibu binafisi Marais waliopita Magufuli,Kikwete,Mkapa, Mwinyi au Nyerere,hawakua mbele mbele kama huyu Waziri Rajab Kingo! Kuna tatizo sehem
Kama ilivyokuwa kwa Nguza Samike katibu binafsi wa Rais Magufuli na sasa tuna Waziri Rajab Salum katibu binafsi wa Rais Samia.

Huyu ndiye mtendaji wa shughuli zote binafsi za Rais Samia katika masuala ya utawala na serikali.

Huyu ndiye mwandishi wa hotuba za Rais, hivyo Rais siku akipatia credit ziende kwa huyu mwamba na akiskosea pia ni hivyohivyo.

Kwasasa viongozi wengi hasa wabunge wamekuwa wakimpost huyu jamaa kupitia mitandao yao ya kijamii ili tu kuweka mazingira yao ya kisiasa vizuri.

Mwenye CV anaweza kuleta ili tunjue kwa undani.

View attachment 2909032View attachment 2909033View attachment 2909034
Ibu
 
Kwa hiyo ndugu zetu wote waliopotea tumdai huyu mwamba siyo!!
 
Kwa haraka haraka bila kupepesa macho hawa ni wapenzi/michepuko. Rais wetu amefanywa lishangazi!!
Huyu mshirikina keshammaliza rais wetu kwa ndumba!
Umetukosea hehima sana Watanzania. Umeandika kitu kibaya iisicho na hekima wala busara. Ukiweza futa. Ni ushauri tu.🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom