Ni nani huyu Waziri Rajab Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia?

Ni nani huyu Waziri Rajab Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia?

Bila shaka Lucas mwanani sijui atakuwa na jibu la swali lako ☹️
 
Huyo si Katibu Kiongozi.

Huyo ni Katibu wa Rais.

Katibu Kiongozi aka Katibu Mkuu Kiongozi ni Balozi Dr. Moses Mpogole Kusiluka. Huyu anaongoza Makatibu Wakuu wa Wizara zote. Huyu ni "Chief of Staff". Ndiye kiongozi wa waajiriwa wa serikalini.

Katibu wa rais ndiye huyu Waziri Salum Rajab. Huyu ni katibu wa rais tu.
Shukrani kwa kunirekebisha. Katibu wa Rais
 
Afu mbona kamaa kayaboost hivi, nayafahamu yakiwa na ujazo wa wastani 🏃‍♂️
 
Nasoma comments zenu huenda nikajifunza vitu na kumjua pia
Tatizo kubwa ni kwamba vijana wengi waliopo JF ni wajinga kwa maana wanajifanya kujua wkt hawajui.

Kwamba mtu anauliza badala ya kujibu wanaleta utoto na uzandiki uliotukuka!.

Hadi kupata jibu inabidi uwe na subra sana baada ya wenye akili kupitia thread na kuamua kujibu kwa hekima!.
 
Ni kweli kabisa watanzania wengi tatizo hilo ni kubwa sana, mtu anauliza kitu kwa nia njema ya kutaka kujua majibu ya wengi huwa ni ya ovyo,
Je ni kukosa hekima?
Je nikuto kustaarabika?
Wakenya saa nyingine wakitutizama bila shaka hutushangaa.
 
Back
Top Bottom