MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Muda mwingi anakuwa jikoni ikulu kusimamia chakula Cha mkeweHivi mbona mume wa Rais haonekani sana kama walivyokuwa wake wa marais 🤔🤔🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda mwingi anakuwa jikoni ikulu kusimamia chakula Cha mkeweHivi mbona mume wa Rais haonekani sana kama walivyokuwa wake wa marais 🤔🤔🤔
Shukrani kwa kunirekebisha. Katibu wa RaisHuyo si Katibu Kiongozi.
Huyo ni Katibu wa Rais.
Katibu Kiongozi aka Katibu Mkuu Kiongozi ni Balozi Dr. Moses Mpogole Kusiluka. Huyu anaongoza Makatibu Wakuu wa Wizara zote. Huyu ni "Chief of Staff". Ndiye kiongozi wa waajiriwa wa serikalini.
Katibu wa rais ndiye huyu Waziri Salum Rajab. Huyu ni katibu wa rais tu.
Mkuu huo ni mkuki si nchale kwa ukubwa huoLimshale kuuubwa ad limegonga kwenye sura, sasa tutamjuaje?
Na hao wengine ambao haujawaulizia, wewe unawajua?
Daa jamaa naona anapewa tabasamu zito kutoka kwa ms.......
Anaitwa Waziri Salum, ni Katibu wa Rais, Ofisi Binafsi ya Rais.Ni mara ya pili namuona akiwa pembeni ya Rais wetu kipenzi cha watu.
Naomba kumtambua huyu mtu ana wadhifa gani? .
View attachment 3162750
Pang Fung Mi and TwilumbaHuyu ni mnikulu. Yaani jamaa flani hivi ambaye inshu zake ni jumba jeupe tu
Nasoma comments zenu huenda nikajifunza vitu na kumjua piaNi mara ya pili namuona akiwa pembeni ya Rais wetu kipenzi cha watu.
Naomba kumtambua huyu mtu ana wadhifa gani? .
View attachment 3162750
Tatizo kubwa ni kwamba vijana wengi waliopo JF ni wajinga kwa maana wanajifanya kujua wkt hawajui.Nasoma comments zenu huenda nikajifunza vitu na kumjua pia
Ni kweli kabisa watanzania wengi tatizo hilo ni kubwa sana, mtu anauliza kitu kwa nia njema ya kutaka kujua majibu ya wengi huwa ni ya ovyo,Tatizo kubwa ni kwamba vijana wengi waliopo JF ni wajinga kwa maana wanajifanya kujua wkt hawajui.
Kwamba mtu anauliza badala ya kujibu wanaleta utoto na uzandiki uliotukuka!.
Hadi kupata jibu inabidi uwe na subra sana baada ya wenye akili kupitia thread na kuamua kujibu kwa hekima!.
Kazi kwelikweli !!
Kuna tetesi jamaa ni bingwa wa kufumua mitaro ...nikiunganisha doti ninakuwa nimejua kwanini mume wa kizimkazi katupwa nje na virago vyake ..
Lucas fridge lake haligandishiNafasi hii itachukuliwa na Lucas Mwashambwa ambaye amekwisha iva na ameongeza jina la katikati kama ajira inavyotaka.