Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Swali ni nani mmiliki wa viwanja vya Ghymkhana Dar es Salaam?
Tuanze kunywa mtori nyama ziko chini, naomba kumjua mmiliki na muendeshaji wa viwanja vile.
Updates:
Well, kinachoendelea sasa ni kuiua Gymkhana kwa ustadi wa hali ya juu, moja ya mbinu inayotumika ni tozo ya kutumia facility kwa kichwa. Bei juu watu wanakimbilia Lugalo jeshini.
Hakuna huduma za kutunza viwanja na quality inashuka, pale Gymkhana ni Beach front, kuna matajiri Tanzania wameumbwa bila haya wanaiua Gymkhana makusudi ili wapate sababu ya kujenga mahotel yao au kuipora ile ardhi ambayo ipo prime area.
Sasa tunaiambia Serikali na kuwaonya wahusika wote mipango yao michafu inajulikana na Wizara ya Michezo itoke usingizini sasa tunataka vitu vya gizani kama hivi tuelezwe wazi mapato ya Gymkhana yanakwenda wapi?
Kuna matajiri wakiona ardhi iko wazi town kama Leaders Club na Gymkhana mate yanawatoka na hawana aibu.