chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Nimeropoka wapi mkuu? Gongo ndio niniUna tabia ya kuropoka kama mlevi wa gongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeropoka wapi mkuu? Gongo ndio niniUna tabia ya kuropoka kama mlevi wa gongo.
Eneo la wazi huwa hakuna makusanyo, Gymkhana kuna viwanja vya tennis na golf, kiingilio chake Sasa hivi ni pesa kubwa haiendani na uhalisia, watu wanakimbilia Lugalo golf course.Miaka yote huwa najua ni eneo la wazi la serikali...
Ujinga ni mzigo mkubwa sanaHivyo viwanja vinamirikiwa na secret societies zinazo fungamana na ILLUMINATS.
Zamani aliyekuwa na mandatory authority ya pilika za pale alikuwa ANDY CHANDE then ANKO BEN... Sijui siku hizi mhusika mkuu ni nani?!
Kifupi hata kama enzi hizo viwanja vilitengwa na serikali lakini kwa sasa FREE MASONRY SOCIETIES ndo wenye mamlaka makuu ya nini kifanyike kwenye hivyo viwanja.
Tulia, acha papara toa jibu mtoa mada kauliza swali.Ujinga ni mzigo mkubwa sana
Nimepata mwanga. Ndio maana yule muekezaji wa timu yenye alama zero goli zero kwenye kundi lao, mwenye jina la utani kama mlio wa ng'ombe walimuokota karibu na maeneo yale.Tulia, acha papara toa jibu mtoa mada kauliza swali.
Wakugusa vile viwanja ktk nchi hii hakika nakwambia lazima awe mtu mzito mwenye mamlaka ya kumkoromea mkuu wa nchi.
Usione watu wanacheza golf ktk vile viwanja ndo ukajua ndo ukomo wa matumizi yake. Ile ni play grounds ya secret societs na imekuwa reserved kwa secret purpose.
Ukiona kuna ujenzi au project mpya inataka ifanyike, basi wameamua wao.
Watu kama wewe mpo wengi na mnaicost sana nchi hii.Hivyo viwanja vinamirikiwa na secret societies zinazo fungamana na ILLUMINATS.
Zamani aliyekuwa na mandatory authority ya pilika za pale alikuwa ANDY CHANDE then ANKO BEN... Sijui siku hizi mhusika mkuu ni nani?!
Kifupi hata kama enzi hizo viwanja vilitengwa na serikali lakini kwa sasa FREE MASONRY SOCIETIES ndo wenye mamlaka makuu ya nini kifanyike kwenye hivyo viwanja.
Swali ni nani mmiliki wa viwanja vya Ghymkhana Dar es salaam?
Tuanze kunywa mtori nyama ziko chini, naomba kumjuwa mmiliki na muendeshaji wa viwanja vile.
Updates:
Well, kinachoendelea Sasa ni ukiuwa Gymkhana Kwa ustadi wa hali ya juu, moja ya mjini inayotumika ni tozo ya kutumia facility Kwa kichwa watu wanakimbilia Lugaro jeshini.
Hakuna huduma za kutumia viwanja quality inashuka, pale Gymkhana ni Beach front, kuna matajili Tanzania wameumbwa bila haya wanaiuwa Gymkhana makusudi ili wapate sababu ya Kujenga mahotel yao au kuipora ile Ardhi ambayo IPO prime area.
Sasa tunaiambia serikali na kuwaonya wahusika wote Mipango yao michafu inajurikana na wizara ya michezo itoke usingizini Sasa tunataka vitu vya gizani kama hivi tuelezwe wazi mapato ya Gymkhana yanakwenda wapi?
Kuna matajili wakiona Ardhi iko wazi town kama Leaders club na Gymkhana mate yanawatoka na hawana aibu.
Ukisema ni vya Serikali maana yake ni Mali ya umma, je umma unanufaika vipi?Hivyo ni viwanja vya serikali
Sasa kama Mahoteli yanaingiza pesa na kuchangia uchumi zaidi, hiyo gymnkhana ni ya kazi gani?Swali ni nani mmiliki wa viwanja vya Ghymkhana Dar es salaam?
Tuanze kunywa mtori nyama ziko chini, naomba kumjuwa mmiliki na muendeshaji wa viwanja vile.
Updates:
Well, kinachoendelea Sasa ni ukiuwa Gymkhana Kwa ustadi wa hali ya juu, moja ya mjini inayotumika ni tozo ya kutumia facility Kwa kichwa watu wanakimbilia Lugaro jeshini.
Hakuna huduma za kutumia viwanja quality inashuka, pale Gymkhana ni Beach front, kuna matajili Tanzania wameumbwa bila haya wanaiuwa Gymkhana makusudi ili wapate sababu ya Kujenga mahotel yao au kuipora ile Ardhi ambayo IPO prime area.
Sasa tunaiambia serikali na kuwaonya wahusika wote Mipango yao michafu inajurikana na wizara ya michezo itoke usingizini Sasa tunataka vitu vya gizani kama hivi tuelezwe wazi mapato ya Gymkhana yanakwenda wapi?
Kuna matajili wakiona Ardhi iko wazi town kama Leaders club na Gymkhana mate yanawatoka na hawana aibu.
Nadhani iko Originated from India,Nafikiri ni ya serikali.
Historia yake Gymkhana imeanza rasmi 1916 na mwanzilishi ni mkoloni chini ya Govana Sir Cameron, wakati huo ukitumika kama uwanja wa kukimbia kwa farasi.
Kwasasa unaongozwa na wanachama wa club na mwenyekiti akiwa ni Waltwr Chipeta
Hiyo ni club lkn sio umiliki wa ardhiNazani iko Originated from India,
Ambieni serikali yenu ijenge viwanja vingine kama Gymkana kila kitongoji sio kulalamikaEneo la wazi huwa hakuna makusanyo, Gymkhana kuna viwanja vya tennis na golf, kiingilio chake Sasa hivi ni pesa kubwa haiendani na uhalisia, watu wanakimbilia Lugalo golf course.
Hili halifanyiki Kwa bahati mbaya, lengo ni kuiuwa Gymkhana ionekane useless ili ibadilishwe matumizi.
Kumbuka majitu ya Ccm hayana aibu, yalishauza Garden ya Mnazi mmoja Kwa mdosi Baghdad Lowasa ndio akatuokowa kuirudisha ile park Kwa umma, yasivyo na aibu yakauza Coco beach, yasivyo na aibu yameuza Tazara rail reserve na asset za Tazara kama magorofa ya pale veterinary.
Kwakuwa mpango wao huu wa kuihujumu na kuiuwa Gymkhana njama zao tumezijuwa mapema tu naomba wazalendo na wafia nchi Gymkhana imulikwe umiliki wake uwekwe wazi na wanaoendeshaji wa sasa wafukuzwe wameshindwa ni bora hata kuwapa mabeberu waendeshe hivi viwanja.
Kweli gymkhana pale pamepwaya sana sahvi,Eneo la wazi huwa hakuna makusanyo, Gymkhana kuna viwanja vya tennis na golf, kiingilio chake Sasa hivi ni pesa kubwa haiendani na uhalisia, watu wanakimbilia Lugalo golf course.
Hili halifanyiki Kwa bahati mbaya, lengo ni kuiuwa Gymkhana ionekane useless ili ibadilishwe matumizi.
Kumbuka majitu ya Ccm hayana aibu, yalishauza Garden ya Mnazi mmoja Kwa mdosi Baghdad Lowasa ndio akatuokowa kuirudisha ile park Kwa umma, yasivyo na aibu yakauza Coco beach, yasivyo na aibu yameuza Tazara rail reserve na asset za Tazara kama magorofa ya pale veterinary.
Kwakuwa mpango wao huu wa kuihujumu na kuiuwa Gymkhana njama zao tumezijuwa mapema tu naomba wazalendo na wafia nchi Gymkhana imulikwe umiliki wake uwekwe wazi na wanaoendeshaji wa sasa wafukuzwe wameshindwa ni bora hata kuwapa mabeberu waendeshe hivi viwanja.
Kweli kabisaWell, kinachoendelea Sasa ni ukiuwa Gymkhana Kwa ustadi wa hali ya juu, moja ya mjini inayotumika ni tozo ya kutumia facility Kwa kichwa watu wanakimbilia Lugaro jeshini.
Hakuna huduma za kutumia viwanja quality inashuka, pale Gymkhana ni Beach front, kuna matajili Tanzania wameumbwa bila haya wanaiuwa Gymkhana makusudi ili wapate sababu ya Kujenga mahotel yao au kuipora ile Ardhi ambayo IPO prime area.
Sasa tunaiambia serikali na kuwaonya wahusika wote Mipango yao michafu inajurikana na wizara ya michezo itoke usingizini Sasa tunataka vitu vya gizani kama hivi tuelezwe wazi mapato ya Gymkhana yanakwenda wapi?
Kuna matajili wakiona Ardhi iko wazi town kama Leaders club na Gymkhana mate yanawatoka na hawana aibu.
Wanapauwa makusudi ili paonekane useless, Sasa watu wa golf wengi wanakwenda jeshini Lugalo pale ada kubwa halafu facility poor.Kweli gymkhana pale pamepwaya sana sahvi,
Na kama watataka kuuza hapo haitoleta sura nzuri kabisa
Alafu sijui kwanini serikali zetu wanapenda kuuza maeneo ya wazi
Hivi wanataka watu na watoto wakapumzike wapi?
Hivi hawajui kama mji nao unatakiwa
Kupumuwa
Ova