Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sheria za Mipangomiji hilo eneo haliruhusiwi kuwekwa majengo, hiyo ndo eneo linaloanzia breathing area ya Jiji la Dar es salaam, hata huo uwanja uliwekwa kimkakati ili kuwabana waroho wa ardhiSwali ni nani mmiliki wa viwanja vya Ghymkhana Dar es salaam?
Tuanze kunywa mtori nyama ziko chini, naomba kumjuwa mmiliki na muendeshaji wa viwanja vile.
Updates:
Well, kinachoendelea Sasa ni ukiuwa Gymkhana Kwa ustadi wa hali ya juu, moja ya mjini inayotumika ni tozo ya kutumia facility Kwa kichwa watu wanakimbilia Lugaro jeshini.
Hakuna huduma za kutumia viwanja quality inashuka, pale Gymkhana ni Beach front, kuna matajili Tanzania wameumbwa bila haya wanaiuwa Gymkhana makusudi ili wapate sababu ya Kujenga mahotel yao au kuipora ile Ardhi ambayo IPO prime area.
Sasa tunaiambia serikali na kuwaonya wahusika wote Mipango yao michafu inajurikana na wizara ya michezo itoke usingizini Sasa tunataka vitu vya gizani kama hivi tuelezwe wazi mapato ya Gymkhana yanakwenda wapi?
Kuna matajili wakiona Ardhi iko wazi town kama Leaders club na Gymkhana mate yanawatoka na hawana aibu.
Empty to my sideSwali ni nani mmiliki wa viwanja vya Ghymkhana Dar es salaam?
Tuanze kunywa mtori nyama ziko chini, naomba kumjuwa mmiliki na muendeshaji wa viwanja vile.
Updates:
Well, kinachoendelea Sasa ni ukiuwa Gymkhana Kwa ustadi wa hali ya juu, moja ya mjini inayotumika ni tozo ya kutumia facility Kwa kichwa watu wanakimbilia Lugaro jeshini.
Hakuna huduma za kutumia viwanja quality inashuka, pale Gymkhana ni Beach front, kuna matajili Tanzania wameumbwa bila haya wanaiuwa Gymkhana makusudi ili wapate sababu ya Kujenga mahotel yao au kuipora ile Ardhi ambayo IPO prime area.
Sasa tunaiambia serikali na kuwaonya wahusika wote Mipango yao michafu inajurikana na wizara ya michezo itoke usingizini Sasa tunataka vitu vya gizani kama hivi tuelezwe wazi mapato ya Gymkhana yanakwenda wapi?
Kuna matajili wakiona Ardhi iko wazi town kama Leaders club na Gymkhana mate yanawatoka na hawana aibu.
Utawaweza watu, sasa vile viwanja vinatusaidia nini?, Wajenge, hoteli, viwanda watu wapate ajira hapoSasa kama Mahoteli yanaingiza pesa na kuchangia uchumi zaidi ,hiyo gymnkhana ni ya kazi gani?
Kinacholipa zaidi ndicho Cha kuangaliwa
Hujacomment hivi Kwa bahati mbaya, makuwadi wao mnajurikana.Utawaweza watu, sasa vile viwanja vinatusaidia nini?, Wajenge, hoteli, viwanda watu wapate ajira hapo
Basi wewe ni Mgeni Tanzania, pale ocean road hospital pembeni kuna jengo crefu hadi ikulu yote ya magogoni unaiona ndani, jiulize alipataje building permit?Kwa sheria za Mipangomiji hilo eneo haliruhusiwi kuwekwa majengo, hiyo ndo eneo linaloanzia breathing area ya Jiji la Dar es salaam, hata huo uwanja uliwekwa kimkakati ili kuwabana waroho wa ardhi
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Safi sana..... great great.Ni miaka kenda sasa hakuna aliyewahi kujiuliza hili 🤔🤔🤔
Hatimaye mada mezani na ukweli unapikwa... nafkiri soon utaiva na utakuwa wazi. Ila tu asisingiziwe Kikwete mwishowe maana tangu enzi na enzi vipo maana watu mnajulikana 😅
Wanapoteza kabisa mandhari ya gymkhanaHili unaloliongea lina ukweli almost 80 percent. Gymkhana iloanza kupwaya Andy chande na mkapa walipokufa. Worstcase scenario wakachagua viongozi akina Fina mango, gerald na Terrence sijui yaani wepesi wasiokuwa na maarifa makubwa na kujua purpose ya gymkhana.
Tulipoona ule mgahawa wa kiswahili huku baharini tulijua tuu mchezo wa kuimaliza umeanza nadhani makonda ana mkono kwenye harakati za kuanza kutolea macho maeneo yale.
Wazee wengi wenye akili zao wamesha zeeka na sasa wamebaki vijana watauza utasikia gsm kanunua anajenga parking.
Mimi niliwahi kufanya kazi pale kwa nafasi ya Meneja mkuu nakuhakikishia kwamba DGC inamilikiwa na wanachama inayo wadhamini wa club watu wanne mengine ni propagandaKuna mfanyakazi mmoja anafanya pale kazi , juzi nilimpelekea bidhaa ali_order online ikabdi nimdodose Akasema ni viwanja vya serikali japo inaendeshwa ki_membership , sa skuwa na intention zaidi ya kujua....!! Sema kuna Malaya wengi Sana usku kwenye uchochoro karbu na geti la kutokea
Chama chochote kinamilikiwa na mwanachama wala hujui hapa tunajadili nini?Mimi niliwahi kufanya kazi pale kwa nafasi ya Meneja mkuu nakuhakikishia kwamba DGC inamilikiwa na wanachama inayo wadhamini wa club watu wanne mengine ni propaganda
Inasikitisha sana mambo yanayofanyika nchi hiiHapa temeke pile Kuna hoarding na gorofa linajengwa.
Hakuna tena uwanja wa mazoezi.
Nakumbuka Jembe alitoa neno kuhusu huu uwanja.
Then alivyo aga Dunia tu watu Wana Jenga fasta.
Some time nikimuona mtu analalamikia ufisadi alafu anamuita Jembe shetani namuonea ni sawasawa na [emoji706][emoji706][emoji706]
Chifu yupo ikulu kugombania milango ya vyoo tuSwali ni nani mmiliki wa viwanja vya Ghymkhana Dar es salaam?
Tuanze kunywa mtori nyama ziko chini, naomba kumjuwa mmiliki na muendeshaji wa viwanja vile.
Updates:
Well, kinachoendelea sasa ni kuiua Gymkhana kwa ustadi wa hali ya juu, moja ya mbinu inayotumika ni tozo ya kutumia facility kwa kichwa. Bei juu watu wanakimbilia Lugalo jeshini.
Hakuna huduma za kutunza viwanja na quality inashuka, pale Gymkhana ni Beach front, kuna matajiri Tanzania wameumbwa bila haya wanaiuwa Gymkhana makusudi ili wapate sababu ya kujenga mahotel yao au kuipora ile ardhi ambayo ipo prime area.
Sasa tunaiambia serikali na kuwaonya wahusika wote mipango yao michafu inajulikana na Wizara ya Michezo itoke usingizini sasa tunataka vitu vya gizani kama hivi tuelezwe wazi mapato ya Gymkhana yanakwenda wapi?
Kuna matajiri wakiona ardhi iko wazi town kama Leaders Club na Gymkhana mate yanawatoka na hawana aibu.
Nafikiri ni Mtukufu Aghakhani anaimiliki kwa sasaNafikiri ni ya serikali.
Historia yake Gymkhana imeanza rasmi 1916 na mwanzilishi ni mkoloni chini ya Govana Sir Cameron, wakati huo ukitumika kama uwanja wa kukimbia kwa farasi.
Kwasasa unaongozwa na wanachama wa club na mwenyekiti akiwa ni Waltwr Chipeta
Duuh mtukufu duniani?Nafikiri ni Mtukufu Aghakhani anaimiliki kwa sasa
Ndio prefix yake hiyo MkuuDuuh mtukufu duniani?
Je huyo mtukufu wao sio tu mmiliki wa club tu?Ndio prefix yake hiyo Mkuu