Ni nani mmiliki wa viwanja vya Gymkhana Dar es salaam? Ufisadi wa kutisha unaandaliwa

Hivyo viwanja vinamirikiwa na secret societies zinazo fungamana na ILLUMINATS.
Zamani aliyekuwa na mandatory authority ya pilika za pale alikuwa ANDY CHANDE then ANKO BEN... Sijui siku hizi mhusika mkuu ni nani?!

Kifupi hata kama enzi hizo viwanja vilitengwa na serikali lakini kwa sasa FREE MASONRY SOCIETIES ndo wenye mamlaka makuu ya nini kifanyike kwenye hivyo viwanja.
 
Miaka yote huwa najua ni eneo la wazi la serikali...
Eneo la wazi huwa hakuna makusanyo, Gymkhana kuna viwanja vya tennis na golf, kiingilio chake Sasa hivi ni pesa kubwa haiendani na uhalisia, watu wanakimbilia Lugalo golf course.

Hili halifanyiki Kwa bahati mbaya, lengo ni kuiuwa Gymkhana ionekane useless ili ibadilishwe matumizi.

Kumbuka majitu ya CCM hayana aibu, yalishauza Garden ya Mnazi mmoja Kwa mdosi Baghdad, Lowassa ndio akatuokoa kuirudisha ile park Kwa umma, yasivyo na aibu yakauza Coco beach, yasivyo na aibu yameuza Tazara rail reserve na asset za Tazara kama magorofa ya pale veterinary.

Kwakuwa mpango wao huu wa kuihujumu na kuiua Gymkhana njama zao tumezijuwa mapema tu naomba wazalendo na wafia nchi Gymkhana imulikwe umiliki wake uwekwe wazi na wanaoendeshaji wa sasa wafukuzwe wameshindwa ni bora hata kuwapa mabeberu waendeshe hivi viwanja.
 
Ujinga ni mzigo mkubwa sana
 
Ujinga ni mzigo mkubwa sana
Tulia, acha papara toa jibu mtoa mada kauliza swali.
Wakugusa vile viwanja ktk nchi hii hakika nakwambia lazima awe mtu mzito mwenye mamlaka ya kumkoromea mkuu wa nchi.

Usione watu wanacheza golf ktk vile viwanja ndo ukajua ndo ukomo wa matumizi yake. Ile ni play grounds ya secret societs na imekuwa reserved kwa secret purpose.
Ukiona kuna ujenzi au project mpya inataka ifanyike, basi wameamua wao.
 
Nimepata mwanga. Ndio maana yule muekezaji wa timu yenye alama zero goli zero kwenye kundi lao, mwenye jina la utani kama mlio wa ng'ombe walimuokota karibu na maeneo yale.
 
Watu kama wewe mpo wengi na mnaicost sana nchi hii.
 
Your browser is not able to display this video.

Rais wa kweli alishawajua wahuni kama hao. Kazi kwa huyu sasa
 
Sasa kama Mahoteli yanaingiza pesa na kuchangia uchumi zaidi, hiyo gymnkhana ni ya kazi gani?

Kinacholipa zaidi ndicho Cha kuangaliwa
 
Nadhani iko Originated from India,
 
Ambieni serikali yenu ijenge viwanja vingine kama Gymkana kila kitongoji sio kulalamika
 
Kweli gymkhana pale pamepwaya sana sahvi,
Na kama watataka kuuza hapo haitoleta sura nzuri kabisa
Alafu sijui kwanini serikali zetu wanapenda kuuza maeneo ya wazi
Hivi wanataka watu na watoto wakapumzike wapi?
Hivi hawajui kama mji nao unatakiwa
Kupumuwa

Ova
 
Kweli kabisa

Ova
 
Wanapauwa makusudi ili paonekane useless, Sasa watu wa golf wengi wanakwenda jeshini Lugalo pale ada kubwa halafu facility poor.

Ni lazima tuwaeleze mapema njama zao tunazijuwa.

Huku mbele entrance gate wameshabeep kuna mgahawa Sasa hivi beach front wanapima upepo kwanza, tukizubaa utakuta siku Gymkhana imezungushiwa mabati deal done.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…