Ni nani mmiliki wa viwanja vya Gymkhana Dar es salaam? Ufisadi wa kutisha unaandaliwa

Kwa sheria za Mipangomiji hilo eneo haliruhusiwi kuwekwa majengo, hiyo ndo eneo linaloanzia breathing area ya Jiji la Dar es salaam, hata huo uwanja uliwekwa kimkakati ili kuwabana waroho wa ardhi

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Empty to my side
 
Basi wewe ni Mgeni Tanzania, pale ocean road hospital pembeni kuna jengo crefu hadi ikulu yote ya magogoni unaiona ndani, jiulize alipataje building permit?

Kwa aibu tu zile floor zote za juu zimechukuliwa na usalama.
 
Dah!
Eti ajira ya hoteli ni bora kuliko wacheza golf na tenisi hii ndiyo bongo ukicheza michezo unaambiwa utavyunjika mguu, ndiyo maana viwanja vya michezo wamejenga madarasa ya kayumba.
 
Hili unaloliongea lina ukweli almost 80 percent. Gymkhana iloanza kupwaya Andy chande na mkapa walipokufa. Worstcase scenario wakachagua viongozi akina Fina mango, gerald na Terrence sijui yaani wepesi wasiokuwa na maarifa makubwa na kujua purpose ya gymkhana.

Tulipoona ule mgahawa wa kiswahili huku baharini tulijua tuu mchezo wa kuimaliza umeanza nadhani makonda ana mkono kwenye harakati za kuanza kutolea macho maeneo yale.

Wazee wengi wenye akili zao wamesha zeeka na sasa wamebaki vijana watauza utasikia gsm kanunua anajenga parking.
 
Wanapoteza kabisa mandhari ya gymkhana

Ova
 
Hapa temeke pile Kuna hoarding na gorofa linajengwa.
Hakuna tena uwanja wa mazoezi.

Nakumbuka Jembe alitoa neno kuhusu huu uwanja.

Then alivyo aga Dunia tu watu Wana Jenga fasta.

Some time nikimuona mtu analalamikia ufisadi alafu anamuita Jembe shetani namuonea ni sawasawa na [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Mimi niliwahi kufanya kazi pale kwa nafasi ya Meneja mkuu nakuhakikishia kwamba DGC inamilikiwa na wanachama inayo wadhamini wa club watu wanne mengine ni propaganda
 
Mimi niliwahi kufanya kazi pale kwa nafasi ya Meneja mkuu nakuhakikishia kwamba DGC inamilikiwa na wanachama inayo wadhamini wa club watu wanne mengine ni propaganda
Chama chochote kinamilikiwa na mwanachama wala hujui hapa tunajadili nini?

Mmiliki wa Ardhi ya Gymkhana ni nani?
 
Inasikitisha sana mambo yanayofanyika nchi hii

Ova
 
Chifu yupo ikulu kugombania milango ya vyoo tu
 
Nafikiri ni Mtukufu Aghakhani anaimiliki kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…