Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Hii changamoto nimekutana nayo karibia vijiji vingi sanaKutokana na nilipo umeandika mada muhimu sana, maana niliyoyaona yanasikitisha mjini watu wazito lakini twende kijijini kwao wanapoishi wazazi wao ni aibu, miaka hii choo hakina ushirikiano watu tunajisaidia kwa kuchimba kishimo
We wachunguze tu, wanaweza kwenda kijijini mara moja kwa mwaka au hakuna kabisaWatu wengi waliofanikiwa mjini wamebadilisha pia kijijini
Kama kuna mtu anatamba mjini na anapakimbia kwao huyo ameshika hela za kula tu au pesa za haraka ambazo huwa zinapita
Muwe mnatembelee vijijini mwenu jamani
Natembelea sana...Muwe mnatembelee vijijini mwenu jamani
Safiiii .Inapendeza sanaNatembelea sana...
Hayo yote tunapendelea wafanye Lissu na Heche.Mola akubariki sana.Wengi hatuendi vijijini tulipo toka kutokana na labda mazingira sio rafiki.
Inawezekana labda, bado kuna nyumba za nyasi, udongo, choo kisichokuwa na ushirikiano, hakuna umeme, au mazingira ni machafu.
Ingawa huku mjini tunajimwambafai kuwa tuko vizuri, kwa kuendekeza starehe, kujifanya wasomi, tuna mijengo mizuri n.k
Lakini kijijini tunakotoka tuna miezi, miaka hatujawahi au hatutaki kwenda kutokana na sababu tulizonazo.
Sasa, wewe unategemea ni nani mwenye jukumu la kupendezesha kijijini kwenu?
Mjini ni kwangu.Kutokana na nilipo umeandika mada muhimu sana, maana niliyoyaona yanasikitisha mjini watu wazito lakini twende kijijini kwao wanapoishi wazazi wao ni aibu, miaka hii choo hakina ushirikiano watu tunajisaidia kwa kuchimba kishimo
Mama yako anakunya kwenye vichaka wewe ukizungusha bia huko mjiniMjini ni kwangu.
Kijijini kwa ukoo.
Kosa langu liko wapi??
Pole sanaMama yako anakunya kwenye vichaka wewe ukizungusha bia huko mjini
Kumbuka hivyo vijiji vina viongozi pia.Kuna vijijini bado wanaishi kama wapo karne ya 10 tena vingi tu, mpaka unashangaa kama kuna binadamu wanaishi humo