Ni nani waliongeza cha juu kwenye manunuzi ya ndege ya mizigo?

Hata wachaguliwe kina nani bado wataiba tu
Wizi wizi wizi
Hakuna mnalojua zaidi ya wizi
Mpaka lini mtategemea kuomba halafu kuiba hizo hizo mnazopewa?
Najua utu, huruma na ubinadamu na hata hisia hamna maana hata walalamikaji wamekumbatia hao hao na wanajuana vizuri sana
 
Tofauti A. H Mwinyi kuna aliyewahi kuwajibika kwa kuamua kuachia ngazi sidhani hatuna sheria inayowataka wawabishwe kwa kuachia ngazi ?
 
Tofauti A. H Mwinyi kuna kuwajibika kwa kuamua kuachia ngazi sidhani hatuna sheria inayowataka wawabishwe kwa kuachia ngazi ?
Hii nchi tamu sana.. Mwaka 2009 Nikiwa Kualar Lumpur Malaysia kwenye kongamano la dini na biashara nilikutana na mhindi mmoja tajiri na katika mazungumzo yetu akasema usipotajirika Tanzania huwezi kutajirika popote[emoji3064][emoji848][emoji2827]
 
Hii nchi tamu sana.. Mwaka 2009 Nikiwa Kualar Lumpur Malaysia kwenye kongamano la dini na biashara nilikutana na mhindi mmoja tajiri na katika mazungumzo yetu akasema usipotajirika Tanzania huwezi kutajirika popote[emoji3064][emoji848][emoji2827]
"If you can't make it here. You can't make it anywhere" mimi niliwahi kuambiwa hivyo ni muda umepita. Uzalendo kazi saaana!!!!
 
Wahuni Siyo Watu Wazuri In Pole Pole Voice
 
Unaambiwa Kuna Vyombo
Freeman Alimwambia Mama Unaupiga Mwingi Hao Wanakudanganya Tumejionea
Muda Huu Chawa Wa Mama Wamepoozaa Wameshika Tama Hawajaamini
Watu Wanazoa Cash Kwenye Sandarusi Tu
 
Kuna wakati nawaza kikatili sana. Mwizi wa mali ya umma ni mbaya kuliko muuaji. Ikiwa tutaanza kuwanyonga, heshima itarudi
Unajua tatizo siyo adhabu. Tatizo ni kuwa hawachukuliwi hatua. Hebu nitajie ni wangapi wameshafungwa hata miaka mitatu tu ndiyo tuseme kuwa adhabu haitoshi? Ni kuwa hawafikishwi mahakamani kabisa au wakifikishwa hawafungwi. Hivyo basi, hata kama wakianzisha adhabu ya kunyonga, watakaonyongwa watakuwa wapigaji wa fedha ndogo kabisa kama laki, laki mbili etc.
 


Utamaduni wa wizi ulikuwepo na wahusika ni wengi kuanzia BOT mpaka makatibu wa wizara. Hata mtindo wa kuweka pesa za contrators bank kwa miezi mitatu ili wale riba ni viongozi wakubwa wanahusika. Tatizo hatuna mahakama imara
 
Hatari kweli kweli
Soon tutamsikia ataanza mniombee hahahaha maana Rais Samia alidhani kupiga picha na kengeza au punga lisu ndiyo inaongeza uandilifu kwa watumishi wa umma, na ile kauli yake eti watumishi walikuwa na nidhamu ya uoga na kula kwa kamba, kwanza sasa hivi tu wamejua amewafahamu watakuwa wanamuombea mabaya ili yampate ya Dkt Magufuli
 
Mi nahisi cag amepewe kibali cha kuwapeleka mahakamani wahusika pindi akigundua uozo,kila kitu anakijua yeye
 
Mwenye dhamana ya kulinda cheji zetu anamjua..
Hawa watu wana dhambi
 
Na walisha fukuzwa tunataka hela zetu,nikiangalia kodi ninayokatwa kwenye mshahara si chini ya laki saba kwa mwezi,jamani naumia
 


Kwa jambo hili kama mama atabaki kulalamika tu hadharani bila kuchukua hatua basi 2025 atawapa wapinzani turufu itakayomuangusha.

Mama hatakiwi kabisa kufumbia macho uozo huo ikizingatiwa hiyo ni ela yetu sie walipa kodi wao ni watunzaji tu wa pesa yetu, hali za maisha ni ngumu sana halafu waliopewa dhamana wanaiba pesa yetu na wasichukuliwe hatua??!

Samiaagain2025 hapana mama pamoja na huruma ya "umama" katika hili na mengine ya aina hii lazima ule vichwa vya hao waliousika ili tujenge imani kwako vinginevyo hao wanakuharibia vibaya, please Mom do something as a lesson for others to learn and mantain your credibility to us.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…