Ni nani waliongeza cha juu kwenye manunuzi ya ndege ya mizigo?

Wapinzani wapi? Hawa wanakula asali kwa mikono miwili au!!??
 
Ubavu wa kufukuza hana
 
Halafu eti Samia for President 2025,itakuwa confirmation kwamba Tanzanians are Zombies.
 
Haya yote yameasisiwa na huyo ndugu Yako!! Hatujui alipiga ngapi Kwa kununua ndege Cash, wametumia hiyo hiyo expirience kwani taasisi nyingi kubwa Bado zipo Sukuma Gang, TRC, atcl etc.
 
Ubavu wa kufukuza hana
Sasa wa nini mkuu,si aondoke?Tunataka Rais atakaye Linda resources zetu na kuwaletea Watanzania maendeleo ya kweli.Ngoja niwaambie Watanzania,mkishaona Rais wenu yupo karibu na Marekani, mjue mnapigwa.This means that ujio wa Kamala Harris ni tangazo la doom kwa Watanzania culturally, morally,economically and heaithwise.Ninaloweza kuwaambia Watanzania ni poleni sana.Kama hamtanielewa sasa mtanielewa baadae,unless you are zombified.
 
Sijui saizi anajiskiaje hamna hata mmoja alieachia ngazi pamoja na yeye kama Rais kukasirika na kuwatusi waachie ngazi ila wamekomaa dadadeki.. ndo mtajua hamjui
 
Haya yote yameasisiwa na huyo ndugu Yako!! Hatujui alipiga ngapi Kwa kununua ndege Cash, wametumia hiyo hiyo expirience kwani taasisi nyingi kubwa Bado zipo Sukuma Gang, TRC, atcl etc.
Aisee mpo wazuri sana kugeuza vibao.Samia alishaweka watu wake,msidanganye Watanzania.Kama mnachoita Sukuma gang kweli wapo, si awaondoe?

Tunacho ona ni kwamba she is a weak President and can't bite,na sisi kama Watanzania we want a strong President who anybody will be forced to think twice before doing anything contrary to government regulations.As it now stands, we do not have such a President.
 
Siyo ajabu kachunguza kakuta Kuna Hadi wakuu wa vyombo nyeti wameusika kktk mgao huo akaona kuwatoa wote Ni kuvuruga serekli billion 114 siyo mchezo Kuna chai kubwa mno iko pale Tena wangine Ni wa humo humo wa ikulu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Huyo magu na biswalo,dotto james wamepora pesa na kuzimiliki wao...hizo ndege na mabehewa mabovu ni magufuli,kadogosa na dotto james
 
Sio kutokuepo ofisini,hawakutakiwa kuwa uraiani tena wapo hapa wengine wanatoa utetezi wa kinafiki.
 
Hao wamekula na bado hawajatosheka wanataka kula tena!! Waachwe wale tu wakishiba na kutosheka wataacha tu wenyewe.
 
Waziri mkuu naona kama Hamsaidii Mama, Yeye ndio mtendaji mkuu wa Serikali na vijana wake ndio wanaolitaifisha Taifa kwa kuiba, sijui hili nalo limekaaje
Mkuu unamuonea tu Mheshimiwa, unajua fika kuwa walamba asali na watoto wao ndio wenye maamuzi, kama mama ameishia kusema watupishe waziri mkuu ni nani hadi awadhibiti hao wezi? je hao vijana aliwateua yeye kwa mkono wake au anashtukia tu wapo jikoni. Watu walisema walamba asali ni wahuni sio wa kuwachekea sasa tunavuna mabua.
 
Mkuu ATCL wao wanakodishwa tu hizo ndege,wanunuzi na wamiliki wa ndege hizo ni serikali yenyewe. malipo na invoice hazitoki ATCL.
 
Punguza upumbavu tujadili qizi ukuopo uachane na magufuli; stupid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…