Ni nani waliongeza cha juu kwenye manunuzi ya ndege ya mizigo?

Ni nani waliongeza cha juu kwenye manunuzi ya ndege ya mizigo?

Mbaya zaidi hajasema km amegoma kulipa hiyo dola mil 88 na badala yake imelipwa ile ile ya awali dola mil37. Km kalipa hiyo iliyoongezwa haina maana kulia lia na kutafta huruma. Ntampongeza tu km amegoma kulipa.

Angekuwa hajalipa asingekasirika vile.

Sasa kama kiongozi mkuu anajua Kuna wizi na anashindwa kusimamia Sheria ili wachukuliwe hatua, sisi raia wa kawaida tutaweza?.
 
Ifike mahali mama aache kulalama badala yake achukue hatua sasa. Yeye ndiyo amiri jeshi mkuu, yeye ndiyo mwenye dola, kamata wote weka ndani huku uchunguzi ukiendelea. Atakayebainika filisi mali rudisha hela serikalini iwe fundisho kwa wengine
Wa kufanya hivyo nani? Mama kama mama, haiwezekani. Ataishia kusema "nitamwambia baba yako."

Tusubiri baba akitoka safarini.
 
Mama kalalamika kwamba invoice ya mwisho ilikuwa tulipe $37,000,000 lakini ikaja invoice ya $86,000,000 ongezeko la zaidi ya asilimia 100 nje ya mkataba wa awali na mama alipohoji akaambiwa spare zimepanda bei.. Je ni nani wanaruhusu malipo ya serikali yatoke? Hawa wafuatao sahihi zao ndio zinahusika.

1. Mwanasheria Mkuu wa Serikali
2. Waziri wa fedha
3. Mlipaji Mkuu wa Serikali
4. Gavana wao BoT
5. Waziri wa Uinzi(?) Kwa vifaa vya usalama na jeshi
6. CDF (?) Kwa vifaa vya usalama na jeshi
7. Mkaguzi Mkuu wa Serikali?
8....
9....

Hiyo ndio timu na sidhani kama kuna wengine nje ya hao. Je, mama aliposema kwamba kama huko nyuma walikula hazikuwatosha.. Alimaanisha hawa ama?

Kwa nchi zinazojali utawala wa kisheria katika uhalisia wake nusu ya hao hapo juu kufikia muda huu hawakupaswa kuwepo ofisini.
Kimenuka !!!
 
Huyu
FscgpWyX0AAT7lU.jpg
 
She was supposed to take action right away... But why do many hesitations
Alipashwa kuwafuta kazi mbele ya kadamnasi.. Ngoja VP aende tuone..
Fukuza wote tuanze upya..
Aliowateua wanateua wateule walafi..
Kwa nini anamlindq mtunza chenji. Tiieses wamelegezwa
Sijui tutatoka vipi hapa
 
Hivi ile trillion 1.5 iliyomfukuzisha kazi Assad iliishia wapi?

CAG alipotaka kuhoji gharama za manunuzi ya ndege (ambazo hazikuidhinishwa na bunge na Wala haikutangazwa zabuni kama Sheria ya manunuzi ya umma inavyotaka) akaambiwa aende ikulu yaani aachane na hiyo issue hukuona hilo? Bunge liliidhinisha ujenzi wa Chato International Airport? Kandarasi ya ujenzi ilitangazwa Ili makampuni ya ujenzi yashindanishwe? Kadhalika Burigi national park n.k n.k? CCM haikuwahi kuwa na msafi acha kujidanganya
bunge hili hili lilikaa kimya Ndugai kujiudhuru kisa kelele za mama na machawa wake , hii nchi alshabab waikamate kwanz
 
Unamzungumzia yule mpigaji wa trillion 1.5 au
onyesha asset zake basi hapa tz , mtu anaiingiza ela kweny mirad yenu halaf kaz kupanua makario , ndio maana mlimuua ghadaf kutwa kuwasingizia usa , sijui na hizo chuki dhidi ya jpm ni usa pia ?
 
Tatizo mahaba yanakupofusha, angalia ripoti ya CAG Toka 2014 ATCL inapata hasara ya mabilioni ya pesa ila hapo katikati tuliambiwa ATCL imepata faida wakatoa na gawio? Halafu Kwa Nini ripoti ikionyesha ubadhilifu wa kuanzia 2016-2020 mnachukia na kusema sio kweli ila ukionyeshwa wa sasa mnafurahi sana
onyesha asset za jpm , huyo wa msoga mali zake zipo open ila mnamkenulia ndio maana mnaitwa majina ya mwituni upeo mdg sana
 
Sredi utakayoanzisha itakua ni ya kumsifu tu huwezi kuongelea ubaya wake, tatizo mahaba yamezidi ila kiuhalisia CCM haikuwahi kuwa na msafi. JPM alikuwa ni mwizi asiyetaka kushirikisha wenzake, hili hata Kangi Lugola analijua vizuri
andika ubaya wake au kuwawinda nyiny mashoga , wavuta bangi , walevi , mafisad , magaidi au vyetu feki ?
 
Sema mama analalamika sana na hakuna watu wakumsaidia, huwezi ukasikia kuna chombo chochote cha serikali hasa polisi au takukuru kuwa wanafanyiakazi report ya jana.Hii nchi hatutafika kamwe..yaani kuanzia JUU mpaka CHINI wote wanalalamika
Meno ya kung'ata yeye ndiye anayo hao polisi/TAKUKURU bila kauli yake hawana la kufanya.
Hivi polisi/TAKUKURU amkamate Waziri/ Katibu Mkuu akiwa ofisini ? Ilitakiwa watolewe ofisini kwanza ndipo mengine yaendelee.
 
Ndiyo kuna sehemu pesa inahitajika na chama ila haina bajeti yake, kosa lao ni kuchelewa kum-brief Raisi kwa akili za kawaida $49 haziwezi kupigwa na mtu moja ata awe Raisi mwenyewe hizo ni kama 120bn Tz shilling hiyo ni zaidi ya bajeti za wilaya kama mbili......hiyo pesa ni ya chama.
Credit: Covax
Hii pointi napingana nayo, Rais ndiye mwenyekiti wa chama ambapo Katibu Mkuu wa chama anaripoti kwake.
Haiwezekani chama kiwe na mkwamo mkubwa kiasi hiki halafu mwenyekiti wa chama asijue.
Hiyo pesa kama imelipwa/ikiliwa inangia mifukoni mwa wajanja hakuna chama wala nini.
 
Mama kalalamika kwamba invoice ya mwisho ilikuwa tulipe $37,000,000 lakini ikaja invoice ya $86,000,000 ongezeko la zaidi ya asilimia 100 nje ya mkataba wa awali na mama alipohoji akaambiwa spare zimepanda bei.. Je ni nani wanaruhusu malipo ya serikali yatoke? Hawa wafuatao sahihi zao ndio zinahusika.

1. Mwanasheria Mkuu wa Serikali
2. Waziri wa fedha
3. Mlipaji Mkuu wa Serikali
4. Gavana wao BoT
5. Waziri wa Uinzi(?) Kwa vifaa vya usalama na jeshi
6. CDF (?) Kwa vifaa vya usalama na jeshi
7. Mkaguzi Mkuu wa Serikali?
8....
9....

Hiyo ndio timu na sidhani kama kuna wengine nje ya hao. Je, mama aliposema kwamba kama huko nyuma walikula hazikuwatosha.. Alimaanisha hawa ama?

Kwa nchi zinazojali utawala wa kisheria katika uhalisia wake nusu ya hao hapo juu kufikia muda huu hawakupaswa kuwepo ofisini.
Kuna engineer hapo?

Hivi mlikuwa mamsimiskiliza mama au mnaota tu.

Mama kasema wazi hayo nadudu yameanzia hapo hapo Ikulu.

Msitake ku spin.
 
Mshana Jr, wengi humu tunakuheshimu sana, tena sana. Na unajua unavyoheshimiwa.

Kwa kauli hii, utatupotezea mwelekeo. Tukuendelee kukuheshimu au tukupuuze.

Kauli yako ni tata.
Asante Lihakanga kwa heshima lakini siwezi kukuchagulia upande wala siwezi kujipigia debe la heshima ama vinginevyo
Sijui kwanini mnataka kutufanya wote tuamini kwamba mwendazake alikuwa mkamilifu na hspaswi kusemwa mapungufu yake
Magu ni binadamu kama wewe na mimi.. Si mkamilifu na ana mazuri na mabaya yake
Kama kuna watu watamsema kwa mazuri yake basi kwa hakika kuna watakaomsema kwa mabaya yake.. Si vema kumgeuza kama malaika fulani asiyetakiwa kunyooshewa hata kidole

Kwangu mimi Magu ni mzuri sana kwenye ujenzi japo pia kuna mapungufu mengi ya kibinadamu yeyote anaweza kufanya.. Lakini nafasi ya urais ilikuwa kubwa kuliko uwezo wake
La wizi hili haliepukiki hata kama litafunikwa leo na kutisha wale wanaooliibua lakini kuna siku kila kitu kitawekwa wazi
 
Back
Top Bottom