mosses15
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 992
- 2,266
Mbaya zaidi hajasema km amegoma kulipa hiyo dola mil 88 na badala yake imelipwa ile ile ya awali dola mil37. Km kalipa hiyo iliyoongezwa haina maana kulia lia na kutafta huruma. Ntampongeza tu km amegoma kulipa.
Angekuwa hajalipa asingekasirika vile.
Sasa kama kiongozi mkuu anajua Kuna wizi na anashindwa kusimamia Sheria ili wachukuliwe hatua, sisi raia wa kawaida tutaweza?.