Ni nchi gani hapa Afrika naweza kwenda kuishi kwa amani?

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
2,317
Reaction score
7,808
Dah Mimi sio mwanasiasa, ila jambo lililotokea Leo limeniuma sana, nimewaza leo yanatokea kwa wenzagu kesho yanaweza kutokea kwa Familia yangu au watoto wangu, Mwisho nitaishi kwa visasi na chuki..

Naona hii sio siri tena, walioko madarakani hawataki kuachia kwa namna yoyote ile, tumekubali kuishi kwenye mfumo wa wanasiasa kuishi maisha ya kitajiri, huku maskini akizidi kukandamizwa.

Mbaya zaidi maskini wenye uniform, wanawapiga maskini wenzao ili matajiri waishi vizuri, je tumechagua huu mfumo wa kuishi?

Nimeona taarifa Moja, mtu mmoja ameuliwa na police, huku naibu katibu mkuu amani, akijeruhiwa saana,..

Hivi Hawa police wanadhani chadema wanafanya yoote kwa faida ya nani?
Hawaoni jinsi wanasiasa na mawaziri wakijitajirisha huku wao wakiwa na maisha ya chini ya hovyo? Na mwisho wa mwezi akipokea laki mbili baada ya mkopo?

Hapana aisee hii sio sawa,..bahati mbaya nchi nyingi za kiafrica ndiyo maisha viongozi waliochagua kuishi...
 
Kwanza nikupe pole, Ndugu.
Ngozi Nyeusi ni kama Imelahaniwa, Pili sisi Watu weusi hatuna Utu ndani yetu, Kuishi na mtu mweusi panaitaji Akili sana, Usijichoshe Juu ya siasa za Africa, Waafrica Bado wanatawaliwa pia Usijetegemea Kua Kuna usawa ktk Chaguzi za Africa.
Tazama Maisha Yako, Tabaka la walio shika mpini hawawezi kuachia Kiti cha mamlaka kilaini kama unavyodhani....
Tafuta maisha yako achana na siasa za Africa
 
Hizo nchi Zenye amani kwasasa zilimwaga damu huwezi kupata democracy au Amani on silver-plate, watanzania ni watu wa oga sana wasio kua na amasa.
 
Kila mtu anaumia kwa sababu anataka kitu. Huwezi kuingia kwenye siasa kama hutaki kitu.
Siasa ni laana na ubinafsi mtupu. Hata huyo anayejifanya kupambana kwaajili ya wananchi hakishapata dola lazima ageuke.

Kuhama nchi kwa sababu watu wachache wanagombania kula kwao huo ni udhaifu. Ni heri ufe kwenye nchi yako kuliko kwenda kufia kwenye nchi za watu.

Binafsi siwezi kuandamana kwa sababu ya siasa bali nitafight kama mtu ataingia kwenye ngome yangu.

Unapata ngeo, ulemavu wa kudumu kisa chama fulani. Huo ni ukosefu wa akili. Ukishaumua unajitibia mwenyewe, familia yako ndio itakusumbukia. Hao unaofight kwa ajili yao hutaona hata shilingi 10.

Pambana kutafuta pesa. Siasa ni uharamia.

Ukikuta barabara ni mbovu, ila inaweza kukufikisha kwenye unachokitaka, usifyonye. Pita ukachukue chako urudi kwenye familia yako.

Ukikuta hospitali haina dawa, nenda bustanini kachume mwarobaini unywe.

Ukikuta shule haina walimu, walrudishe wanao nyumbani uwafundishe au mtaani kuna watu ni walimu wazuri tu.
 
Kwanza nikupe pole, Ndugu.
Ngozi Nyeusi ni kama Imelahaniwa, Pili sisi Watu weusi hatuna Utu ndani yetu, Kuishi na mtu mweusi panaitaji Akili sana, Usijichoshe Juu ya siasa za Africa, Waafrica Bado wanatawaliwa pia Usijetegemea Kua Kuna usawa ktk Chaguzi za Africa.
Tazama Maisha Yako, Tabaka la walio shika mpini hawawezi kuachia Kiti cha mamlaka kilaini kama unavyodhani....
Tafuta maisha yako achana na siasa za Africa
Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.
 
Dah Mimi sio mwanasiasa, ila jambo lililotokea Leo limeniuma sana, nimewaza leo yanatokea kwa wenzagu kesho yanaweza kutokea kwa Familia yangu au watoto wangu, Mwisho nitaishi kwa visasi na chuki..

Naona hii sio siri tena, walioko madarakani hawataki kuachia kwa namna yoyote ile, tumekubali kuishi kwenye mfumo wa wanasiasa kuishi maisha ya kitajiri, huku maskini akizidi kukandamizwa.

Mbaya zaidi maskini wenye uniform, wanawapiga maskini wenzao ili matajiri waishi vizuri, je tumechagua huu mfumo wa kuishi?

Nimeona taarifa Moja, mtu mmoja ameuliwa na police, huku naibu katibu mkuu amani, akijeruhiwa saana,..

Hivi Hawa police wanadhani chadema wanafanya yoote kwa faida ya nani?
Hawaoni jinsi wanasiasa na mawaziri wakijitajirisha huku wao wakiwa na maisha ya chini ya hovyo? Na mwisho wa mwezi akipokea laki mbili baada ya mkopo?

Hapana aisee hii sio sawa,..bahati mbaya nchi nyingi za kiafrica ndiyo maisha viongozi waliochagua kuishi...
Namibia na Botswana
 
Umeongea kwa uchungu sana! Polisi wengi ni vilaza na wana vipato vidogo sana ila hawajitambui, wana laana kubwa sana!
 
Kila mtu anaumia kwa sababu anataka kitu. Huwezi kuingia kwenye siasa kama hutaki kitu.
Siasa ni laana na ubinafsi mtupu. Hata huyo anayejifanya kupambana kwaajili ya wananchi hakishapata dola lazima ageuke.

Kuhama nchi kwa sababu watu wachache wanagombania kula kwao huo ni udhaifu. Ni heri ufe kwenye nchi yako kuliko kwenda kufia kwenye nchi za watu.

Binafsi siwezi kuandamana kwa sababu ya siasa bali nitafight kama mtu ataingia kwenye ngome yangu.

Unapata ngeo, ulemavu wa kudumu kisa chama fulani. Huo ni ukosefu wa akili. Ukishaumua unajitibia mwenyewe, familia yako ndio itakusumbukia. Hao unaofight kwa ajili yao hutaona hata shilingi 10.

Pambana kutafuta pesa. Siasa ni uharamia.

Ukikuta barabara ni mbovu, ila inaweza kukufikisha kwenye unachokitaka, usifyonye. Pita ukachukue chako urudi kwenye familia yako.

Ukikuta hospitali haina dawa, nenda bustanini kachume mwarobaini unywe.

Ukikuta shule haina walimu, walrudishe wanao nyumbani uwafundishe au mtaani kuna watu ni walimu wazuri tu.
Kwamba uta fight mtu akiingia kwenye ngome yako very well. Lakini vip Kama watakao ingia kwenye ngome yako wakiwa Ni watu hao hao wa kwenye siasa.?
 
Haya Heche yuko zake njiani hajaleta vurugu yupo kwenye gari yake anaenda mahakamani wanampiga pini wanamkamata. Yaani hata sabbu hamna. hii Sio feaa kabisaaa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Kwanza nikupe pole, Ndugu.
Ngozi Nyeusi ni kama Imelahaniwa, Pili sisi Watu weusi hatuna Utu ndani yetu, Kuishi na mtu mweusi panaitaji Akili sana, Usijichoshe Juu ya siasa za Africa, Waafrica Bado wanatawaliwa pia Usijetegemea Kua Kuna usawa ktk Chaguzi za Africa.
Tazama Maisha Yako, Tabaka la walio shika mpini hawawezi kuachia Kiti cha mamlaka kilaini kama unavyodhani....
Tafuta maisha yako achana na siasa za Africa
Nimegundua vitu vingi sana Leo, cheo ni kitu hatari sana,
 
Dah Mimi sio mwanasiasa, ila jambo lililotokea Leo limeniuma sana, nimewaza leo yanatokea kwa wenzagu kesho yanaweza kutokea kwa Familia yangu au watoto wangu, Mwisho nitaishi kwa visasi na chuki..

Naona hii sio siri tena, walioko madarakani hawataki kuachia kwa namna yoyote ile, tumekubali kuishi kwenye mfumo wa wanasiasa kuishi maisha ya kitajiri, huku maskini akizidi kukandamizwa.

Mbaya zaidi maskini wenye uniform, wanawapiga maskini wenzao ili matajiri waishi vizuri, je tumechagua huu mfumo wa kuishi?

Nimeona taarifa Moja, mtu mmoja ameuliwa na police, huku naibu katibu mkuu amani, akijeruhiwa saana,..

Hivi Hawa police wanadhani chadema wanafanya yoote kwa faida ya nani?
Hawaoni jinsi wanasiasa na mawaziri wakijitajirisha huku wao wakiwa na maisha ya chini ya hovyo? Na mwisho wa mwezi akipokea laki mbili baada ya mkopo?

Hapana aisee hii sio sawa,..bahati mbaya nchi nyingi za kiafrica ndiyo maisha viongozi waliochagua kuishi...
Labda Burkina Faso ila kule ukileta harakati rais mwenyewe anakupiga shaba
1000031042.jpg
 
Back
Top Bottom