Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,317
- 7,808
Kwanza nikupe pole, Ndugu.Dah Mimi sio mwanasiasa, ila jambo lililotokea Leo limeniuma sana, nimewaza leo yanatokea kwa wenzagu kesho yanaweza kutokea kwa Familia yangu au watoto wangu, Mwisho nitaishi kwa visasi na chuki..
Naona hii sio siri tena, walioko madarakani hawataki kuachia kwa namna yoyote ile, tumekubali kuishi kwenye mfumo wa wanasiasa kuishi maisha ya kitajiri, huku maskini akizidi kukandamizwa.
Mbaya zaidi maskini wenye uniform, wanawapiga maskini wenzao ili matajiri waishi vizuri, je tumechagua huu mfumo wa kuishi?
Nimeona taarifa Moja, mtu mmoja ameuliwa na police, huku naibu katibu mkuu amani, akijeruhiwa saana,..
Hivi Hawa police wanadhani chadema wanafanya yoote kwa faida ya nani?
Hawaoni jinsi wanasiasa na mawaziri wakijitajirisha huku wao wakiwa na maisha ya chini ya hovyo? Na mwisho wa mwezi akipokea laki mbili baada ya mkopo?
Hapana aisee hii sio sawa,..bahati mbaya nchi nyingi za kiafrica ndiyo maisha viongozi waliochagua kuishi...
Hizo nchi Zenye amani kwasasa zilimwaga damu huwezi kupata democracy au Amani on silver-plate, watanzania ni watu wa oga sana wasio kua na amasa.Dah Mimi sio mwanasiasa, ila jambo lililotokea Leo limeniuma sana, nimewaza leo yanatokea kwa wenzagu kesho yanaweza kutokea kwa Familia yangu au watoto wangu, Mwisho nitaishi kwa visasi na chuki..
Naona hii sio siri tena, walioko madarakani hawataki kuachia kwa namna yoyote ile, tumekubali kuishi kwenye mfumo wa wanasiasa kuishi maisha ya kitajiri, huku maskini akizidi kukandamizwa.
Mbaya zaidi maskini wenye uniform, wanawapiga maskini wenzao ili matajiri waishi vizuri, je tumechagua huu mfumo wa kuishi?
Nimeona taarifa Moja, mtu mmoja ameuliwa na police, huku naibu katibu mkuu amani, akijeruhiwa saana,..
Hivi Hawa police wanadhani chadema wanafanya yoote kwa faida ya nani?
Hawaoni jinsi wanasiasa na mawaziri wakijitajirisha huku wao wakiwa na maisha ya chini ya hovyo? Na mwisho wa mwezi akipokea laki mbili baada ya mkopo?
Hapana aisee hii sio sawa,..bahati mbaya nchi nyingi za kiafrica ndiyo maisha viongozi waliochagua kuishi...
Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.Kwanza nikupe pole, Ndugu.
Ngozi Nyeusi ni kama Imelahaniwa, Pili sisi Watu weusi hatuna Utu ndani yetu, Kuishi na mtu mweusi panaitaji Akili sana, Usijichoshe Juu ya siasa za Africa, Waafrica Bado wanatawaliwa pia Usijetegemea Kua Kuna usawa ktk Chaguzi za Africa.
Tazama Maisha Yako, Tabaka la walio shika mpini hawawezi kuachia Kiti cha mamlaka kilaini kama unavyodhani....
Tafuta maisha yako achana na siasa za Africa
Namibia na BotswanaDah Mimi sio mwanasiasa, ila jambo lililotokea Leo limeniuma sana, nimewaza leo yanatokea kwa wenzagu kesho yanaweza kutokea kwa Familia yangu au watoto wangu, Mwisho nitaishi kwa visasi na chuki..
Naona hii sio siri tena, walioko madarakani hawataki kuachia kwa namna yoyote ile, tumekubali kuishi kwenye mfumo wa wanasiasa kuishi maisha ya kitajiri, huku maskini akizidi kukandamizwa.
Mbaya zaidi maskini wenye uniform, wanawapiga maskini wenzao ili matajiri waishi vizuri, je tumechagua huu mfumo wa kuishi?
Nimeona taarifa Moja, mtu mmoja ameuliwa na police, huku naibu katibu mkuu amani, akijeruhiwa saana,..
Hivi Hawa police wanadhani chadema wanafanya yoote kwa faida ya nani?
Hawaoni jinsi wanasiasa na mawaziri wakijitajirisha huku wao wakiwa na maisha ya chini ya hovyo? Na mwisho wa mwezi akipokea laki mbili baada ya mkopo?
Hapana aisee hii sio sawa,..bahati mbaya nchi nyingi za kiafrica ndiyo maisha viongozi waliochagua kuishi...
Umeongea kwa uchungu sana! Polisi wengi ni vilaza na wana vipato vidogo sana ila hawajitambui, wana laana kubwa sana!Dah Mimi sio mwanasiasa, ila jambo lililotokea Leo limeniuma sana, nimewaza leo yanatokea kwa wenzagu kesho yanaweza kutokea kwa Familia yangu au watoto wangu, Mwisho nitaishi kwa visasi na chuki..
Naona hii sio siri tena, walioko madarakani hawataki kuachia kwa namna yoyote ile, tumekubali kuishi kwenye mfumo wa wanasiasa kuishi maisha ya kitajiri, huku maskini akizidi kukandamizwa.
Mbaya zaidi maskini wenye uniform, wanawapiga maskini wenzao ili matajiri waishi vizuri, je tumechagua huu mfumo wa kuishi?
Nimeona taarifa Moja, mtu mmoja ameuliwa na police, huku naibu katibu mkuu amani, akijeruhiwa saana,..
Hivi Hawa police wanadhani chadema wanafanya yoote kwa faida ya nani?
Hawaoni jinsi wanasiasa na mawaziri wakijitajirisha huku wao wakiwa na maisha ya chini ya hovyo? Na mwisho wa mwezi akipokea laki mbili baada ya mkopo?
Hapana aisee hii sio sawa,..bahati mbaya nchi nyingi za kiafrica ndiyo maisha viongozi waliochagua kuishi...
Kwamba uta fight mtu akiingia kwenye ngome yako very well. Lakini vip Kama watakao ingia kwenye ngome yako wakiwa Ni watu hao hao wa kwenye siasa.?Kila mtu anaumia kwa sababu anataka kitu. Huwezi kuingia kwenye siasa kama hutaki kitu.
Siasa ni laana na ubinafsi mtupu. Hata huyo anayejifanya kupambana kwaajili ya wananchi hakishapata dola lazima ageuke.
Kuhama nchi kwa sababu watu wachache wanagombania kula kwao huo ni udhaifu. Ni heri ufe kwenye nchi yako kuliko kwenda kufia kwenye nchi za watu.
Binafsi siwezi kuandamana kwa sababu ya siasa bali nitafight kama mtu ataingia kwenye ngome yangu.
Unapata ngeo, ulemavu wa kudumu kisa chama fulani. Huo ni ukosefu wa akili. Ukishaumua unajitibia mwenyewe, familia yako ndio itakusumbukia. Hao unaofight kwa ajili yao hutaona hata shilingi 10.
Pambana kutafuta pesa. Siasa ni uharamia.
Ukikuta barabara ni mbovu, ila inaweza kukufikisha kwenye unachokitaka, usifyonye. Pita ukachukue chako urudi kwenye familia yako.
Ukikuta hospitali haina dawa, nenda bustanini kachume mwarobaini unywe.
Ukikuta shule haina walimu, walrudishe wanao nyumbani uwafundishe au mtaani kuna watu ni walimu wazuri tu.
Kiukweli, leo nimekasirika sana nimejua ambayo sijajui, cheo kinaweza sababisha mtu aoe kwa ajili ya kulinda nafasi yake tu.Namibia na Botswana
Nimegundua vitu vingi sana Leo, cheo ni kitu hatari sana,Kwanza nikupe pole, Ndugu.
Ngozi Nyeusi ni kama Imelahaniwa, Pili sisi Watu weusi hatuna Utu ndani yetu, Kuishi na mtu mweusi panaitaji Akili sana, Usijichoshe Juu ya siasa za Africa, Waafrica Bado wanatawaliwa pia Usijetegemea Kua Kuna usawa ktk Chaguzi za Africa.
Tazama Maisha Yako, Tabaka la walio shika mpini hawawezi kuachia Kiti cha mamlaka kilaini kama unavyodhani....
Tafuta maisha yako achana na siasa za Africa
Labda Burkina Faso ila kule ukileta harakati rais mwenyewe anakupiga shabaDah Mimi sio mwanasiasa, ila jambo lililotokea Leo limeniuma sana, nimewaza leo yanatokea kwa wenzagu kesho yanaweza kutokea kwa Familia yangu au watoto wangu, Mwisho nitaishi kwa visasi na chuki..
Naona hii sio siri tena, walioko madarakani hawataki kuachia kwa namna yoyote ile, tumekubali kuishi kwenye mfumo wa wanasiasa kuishi maisha ya kitajiri, huku maskini akizidi kukandamizwa.
Mbaya zaidi maskini wenye uniform, wanawapiga maskini wenzao ili matajiri waishi vizuri, je tumechagua huu mfumo wa kuishi?
Nimeona taarifa Moja, mtu mmoja ameuliwa na police, huku naibu katibu mkuu amani, akijeruhiwa saana,..
Hivi Hawa police wanadhani chadema wanafanya yoote kwa faida ya nani?
Hawaoni jinsi wanasiasa na mawaziri wakijitajirisha huku wao wakiwa na maisha ya chini ya hovyo? Na mwisho wa mwezi akipokea laki mbili baada ya mkopo?
Hapana aisee hii sio sawa,..bahati mbaya nchi nyingi za kiafrica ndiyo maisha viongozi waliochagua kuishi...
Bora aisee, hii sio nchi ya kuishi.Kimbilia ulaya,.. Africa ndio ileile
Na Mambo unayoona na dhulma inayofanyika nchi hii ni zaidi unavyoweza kufikiria...nchi ishakua Mali binafsi ya watu,..kila familia Ina kitengo Cha ulaji wa keki ya taifa,sisi hata makombo hatupati,vipande vya keki vipo 26 don't ever think that keki is enough for all of us...Bora aisee, hii sio nchi ya kuishi.