Ni nchi gani hapa Afrika naweza kwenda kuishi kwa amani?

Leo nimeamini kwamba, hakuna kiongozi ambaye yupo kwa ajili ya watu, kila kiongozi anawaza tumbo lake na familia yake,...yaani aliyokua anasema Mange kuhusu bandari, sijui loliondo, na mawaziri kujenga majumba Dubai nadhani niukweli, sidhani kama wanaweza kukubali kuachia keki ya namna hii.
 
Pole mkuu ignorance is a bliss..hakuna muafrika anae fikiria kwaajili ya mwezie,.ubinafsi na usaliti ndio asili ya mtu mweusi,Angalia hata huyo mzalendo wanaesema alikua anaipenda nchi,yeye ndio karatibu katiba ya nchi CCM kutawala milele,wezi kulindwa,wajuu wapate,masikini asiende popote.
 
Pole sana ndugu. Ukihamia Burundi itapendeza.
 
Usijishighulishe na siasa kama sio mwanasiasa wenzako wanalipwa ,hauwezi kuwa mkurugenzi wa uchaguzi wa chadema usilipwe,nk hivyo basi wenzenu wapo kazini wewe unakuwa mwendawazimu kumsaidia mwenzako kufanya KAZI yake unaacha ya kwako.Wanasiasa waacheni wafanye siasa mkijiingiza mkavunjwa miguu utawekewa wa bandia.
 
Hapa nchi iliyo salama kwa sasa ni Somalia tu
 
Mpaka pale vijana wa Tanzania mtakapokataa ujinga ndipo nchi itapata uhuru! Hebu fikria vijana wote muingie barabarani mkubali kufa na kupona, Polisi wenyewe bunduki zao haziwezi kuua raia wote! Nchi hii hakuna watu wajinga kama Polisi!
 
Kwamba uta fight mtu akiingia kwenye ngome yako very well. Lakini vip Kama watakao ingia kwenye ngome yako wakiwa Ni watu hao hao wa kwenye siasa.?
Hawawezi kunifata kama sijawafata au kuwaita.
 
NAKAZIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…