comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Ukiacha li nchi hili tunalolijua ambalo lina watu milioni sabini lakini linatawaliwa na kanchi kenye watu milioni 2 nanusu!
Nchi hilo ambalo limejaa wajinga wengi, yani tofauti ya msomi na asiesoma tofauti yao ni makaratasi tu.
Kubwa jinga ambalo kwake gharama za matibabu na nishati ni ghali kuliko kanchi hako kadogo.
Nchi kama hii iliojaa manyumbu ilitakiwa ipigwe maji yote kama enzi za Nuhu kizazi chote kiondoke kije kingne labda kitakua na kujitambua kidogo.
Nchi kubwa lakini haina jeshi lolote wala taasisi yoyote ya serikali inayojitambua, nchi inaendeshwa na watu watano tu