Ni nchi gani tajiri barani Afrika lakini watu wake hawana akili?

Ni nchi gani tajiri barani Afrika lakini watu wake hawana akili?

Nchi zoote za Africa + Viongozi wamejawa tamaa hawana hata maana🚮
 
Kuna mwamba mmoja alishawahi kusema akipewa bandari ya Dar miezi mitatu tu watu hata kodi hawatalipa na mambo yataenda, wakakasirikaaaaaaaaaaaaaaaaa ,mna mavyoanzo makuuubwa ya mapato lakini kuyatumia hamuwezi angalia sasa hata hao bandari wenyewe wanaambiwa wahamie Dodoma kufurahisha wanasiasa
 
Viongozi ndio hawana akili wanakuaga na akili kabla ya kua viongozi mfano Shangazi,Nape,Makamba Mwigulu n.k
Shangai yupi? Yule mwanasheria mtoto wake Karume au huyu Rais Ruto aliyembatiza jina siku ya inauguration yake uwanja wa Kasarani?
 
Ndugu wanajf Africa Ni bara kubwa lenye nchi takriban 56 na watu wenye asili tofautitofauti Sasa je naomba kujua ni nchi ipi iliyo na rasilimali nyingi lakini watu wake hawana akili ya kuzitumia??
CHATO
 
Back
Top Bottom