Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Viongozi na wananchi wake ndiyo hawana akili hasa hasa wananchi wa Tanzania asilimia 80 hawana akiliViongozi ndio hawana akili wanakuaga na akili kabla ya kua viongozi mfano Shangazi,Nape,Makamba Mwigulu n.k
Tanzania. Hili halina ubishiNdugu wanajf Africa Ni bara kubwa lenye nchi takribani 56 na watu wenye asili tofautitofauti Sasa je naomba kujua ni nchi ipi iliyo na rasilimali nyingi lakini watu wake hawana akili ya kuzitumia??
Ni wa pili kutoka wa mwishoTanzania. Hili halina ubishi
Nchi unayotoka Wewe.Ndugu wanajf Africa Ni bara kubwa lenye nchi takribani 56 na watu wenye asili tofautitofauti Sasa je naomba kujua ni nchi ipi iliyo na rasilimali nyingi lakini watu wake hawana akili ya kuzitumia??
Toa Equatorial Guinea weka MozambiqueDRC, Sierra Leon, Tanzania, Equatorial Guinea, Mali n.k
Shangai yupi? Yule mwanasheria mtoto wake Karume au huyu Rais Ruto aliyembatiza jina siku ya inauguration yake uwanja wa Kasarani?Viongozi ndio hawana akili wanakuaga na akili kabla ya kua viongozi mfano Shangazi,Nape,Makamba Mwigulu n.k
Nadhani ni 99%, ukinitoa mimiViongozi na wananchi wake ndiyo hawana akili hasa hasa wananchi wa Tanzania asilimia 80 hawana akili
Kwa nn Tanzania mkuu?Viongozi na wananchi wake ndiyo hawana akili hasa hasa wananchi wa Tanzania asilimia 80 hawana akili
CHATONdugu wanajf Africa Ni bara kubwa lenye nchi takriban 56 na watu wenye asili tofautitofauti Sasa je naomba kujua ni nchi ipi iliyo na rasilimali nyingi lakini watu wake hawana akili ya kuzitumia??
Chato Ni Nchi gani mkuu?CHATO