Ni nchi gani tajiri barani Afrika lakini watu wake hawana akili?

Watawala wa kiafrica hawana confidence ya kutawala watu walioshiba, wametengeneza mifumo inayowabana watu wao kuinuka Ili wazidi kuwa masikini Ili waweze kuwatawala.
 
Ndugu wanajf Africa Ni bara kubwa lenye nchi takriban 56 na watu wenye asili tofautitofauti Sasa je naomba kujua ni nchi ipi iliyo na rasilimali nyingi lakini watu wake hawana akili ya kuzitumia??
Tanza-nia
 
Nchi ya kwanza kwa utajiri ghafi ni duniani ni congo. Bara la kwanza kwa utajiri ghafi ni Afrika,utajiri waliochukua wakoloni haifiki hata robo ya raslimali tele ambazo bado zipo.
 
Umasikini wa Afrika ni uthibisho kwamba tulikurupuka kudai UHURU kwa kuingizwa chaka na wapigania UHURU wao waliangalia maslai yao na sio ya waafrika wote, thus hadi kesho wamevitengenezea maisha vizazi vyao vinalamba asali.
 
Hakuna kitu kama hicho huyo aliyesema hivyo haijui ukubwa wa nchi na anafaninisha wilaya anayoingoza na linchi likubwa ambalo Burundi, Rwanda, Kenya zina zama ndani ya Tanzania.
 
Ndugu wanajf Africa Ni bara kubwa lenye nchi takriban 56 na watu wenye asili tofautitofauti Sasa je naomba kujua ni nchi ipi iliyo na rasilimali nyingi lakini watu wake hawana akili ya kuzitumia??
1. DRC congo/ Zaire
2. Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…