Ni nchi zipi ungependa uishi tofauti na Tanzania?

Hiyo namba sita kwenye ufafanuzi umesema unapenda mashombeshombe, unataka kutuambia nini hapo!
 
Hahhaa ww hujatokaga kuuuuutwa kuisifia njombe..tembea uone ww!kitulo ilikua miaka ilee ..sio sasa!
Kwa nini mkuu kitulo si ndio bustani ya Mungu boss au? Saizi imezidi kunoga maana ni national park kabisa labda wewe unasemea ile ranch ya kitulo ndio imepoteana
 
Huwezi kupenda kuishi kwenye Nchi ambayo hujawahi kufika. Trust me.
 
Africa : NIGERIA hii niliipenda tangu utotoni kutokana na muvi na mandhari yake vijijini

America :USA hii ndiyo Dream country sababu kuu ni kila kitu kuhusu marekani nakupenda

Asia : INDIA +CHINA sababu kubwa nazipenda tu
 
Hii mada wangepewa wakenya vs watz watoe sababu mngeona ni wap kuna ombwe la elimu...hahah tupo tu tumerelax hatufikirii zaidi ..lol..hapa mkenya angeshatuma had fedha za nchi husika...angeshajua exchange rate yao..angeshajua GDP ya nchi husika.😅😅!sisi tumekalia petty issues...!..mwe!mm ntabaki hapa hapa Tz na kina mzee Mangula tule wote keki ya taifa😉
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…