Tamaduni zipi? uvaaji upi ndio ni utamaduni wa Kiswahili?Wakristo hata biblia ipo kwa kiswahili tamaduni hadi uvaaji ni wa kiswahili ila nyie ni too much kujiona kama wasaudi punguzeni
Mafuta ya mwamposaWakristo weusi wao hua wanarithishana nini? maji ya upako au chumvi ya upako?
Wajinga tu.Tatizo la waislam wengi weusi wanajichukuliaga waarabu kama ndugu zao yaani wakiona maisha ya waarabu ndio wanajiona kama ndio wao kumbe waarabu wana falsafa tofauti kabisa na ndio maana hawataki kabisa kuowana na watu weusi
🤣🤣🤣🤣🤣Kama vile walivyo wakristo hujiona kua wao ni wayahudi au wamarekani weusi wa Ifakara,wakiona maendeleo ya hao niliowataja, hujiona kama wao ndio wameendelea hivyo.
wewe na akili yako kwan we hujui walaka wa urithi??Biashara huwa zinarithishwa kwa watoto hasa wa kiume wanaoendeleza kizazi lakini kwa wakristo hali ni tofauti, Baba akifa nusu ya mali zinaenda kwa mke ambae anaweza akawa hajui chochote kuhusu biashara, hapo ataona heri auze biashara ili apate pesa za kuendeleza huko kwao na akatoe sadaka kwa Mwamposa, biashara inakufa kifo cha mende.
Tukija kwa waislam mke anapewa Asilimia 10 tu ya mali, mali kwa Asilimia kubwa zinabaki kwa watoto wa kiume wanaoendeleza kizazi, mabinti wanaenda Kuendelea vizazi vya wengine hupewa nusu ya mali wanazopata watoto wa kiume. Hivyo watoto wa kiume kupewa kipaumbele kurithisi sehemu kubwa kuna uwezekano wa kuendeleza biashara.
Hata wazungu ukiangalia wamefanikiwa zaidi lakini biashara za Familia zimekuwa ni tatizo kwasababu mifumo ya kifamilia inawakandamiza sana kina baba, mama akifungua mdomo kidogo tu anapewa nusu ya mali zote na watoto, ndio maana unakuta wakifariki biashara zao zinamilikiwa na watu wengine, hata urithi wao wakifa wanaona heri wagawe kwa mashirika ya misaada. Tajiri kama. Bill gates hatawaachia chochote watoto wake, mke wake alishamuacha akapunwa matrilioni ya mgao wa mali.
Oya hii nadhani ni report ya familia yenu au mtu wa karibu eeh?Sio waarabu tu, uislam ni mfumo wa maisha, Kuna Familia za kiislam nazijua watoto wa kiume ndio wanaoendeleza biashara za baba zao kama real estate, mashamba, logistics, n.k. Watoto wa kiume wanaoendeleza kizazi ndio wasimamizi wakuu.
Kwa wakristo ni ngumu hii, mke anapewa nusu ya mali zote anaweza kuziuza zote ajenge kwao, watoto wa kike wanaoendeleza vizazi vya watu wa nje nao wanapewa mali Sawa na watoto wa kiume,