Ni ngumu sana kukuta wenye akili au uwezo mzuri ni mashabiki wa Simba na Yanga

Ulichosema nimedhibitisha,,page ya instagram ya rais wa nchi hii eti anawatakia mchezo mwema [emoji23][emoji23]
 
H
Hii kitu ni kweli hata kazini na maofsini wale Oya oya ndio wanaoshabikia hiyo mipira.

Ila watu makini huoni kabisa. Na hata akishabikia ni sababu tu anataka kusindikiza stori tu.
 
Fanya utafiti ni matajiri wangapi wamewahi kuzimia au kufa kwa sababu ya hizi teams kushinda au kushindwa? Nadra sana. Lakini kuna vidampa wengi tu utakuta wanazimia na kufa kwa sababu ya hizi teams
Hahaha......kuna wazee wawili nimeshuhudia wakipata Stroke timu zao zilipofungwa.

Ni wazee maskini sana waliokuwa wanajiliwaza kwa burudani ya Simba na Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…