comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Kwanza mnatakiwa kabla hamjafanya chochote kutoa Taarifa kwa umma inabidi mtulie, muichambue kwa makini, vijana wa leo wanajua mambo mengi na wanauwezo mkubwa wa kuchakata mambo.
Hii comment hapo chini imenifurahisha sana ikiiilenga shirika la umeme kwa kutoa kanusho.
Hii comment hapo chini imenifurahisha sana ikiiilenga shirika la umeme kwa kutoa kanusho.