Ni ngumu sana kupata mwanamke full package

Mwanamke asiwe na vitu vi3 tu.

1. Asiwe malaya/mlevi.
2. Asiwe mshirikina/Imani za waganga.
3. Asiwe mtu asiye na hofu ya MUNGU na wazazi/walezi/ukoo.

Mengine yoote ni kuvumiliana. Hatuko perfect.

Mm ningechukua huyo omba omba au single mother.
Mkuu inaonekana hujakutana na mwanamke mwenye DHARAU na asiyetosheka.
 
Ww ndo utakufa mapema. Yani uoe singo maza tena ana watoto wawili??

Anyway, Yanga atamfunga Masandawana [emoji23][emoji23]
Kuna mtu kachukua mwanamke wa rafiki yake aliyezaa nae watoto 4 na kaweka ndani na jamaa aliyemzalisha mwanamke anapambana kumrudisha bila mafanikio miaka imepita sasa. Huyu si alitakiwa afe baada ya wiki?
 
Unapotafuta mwanamke usiwe mbinafsi kuangalia tako sijui nini nini tafuta mwanamke anaeweza kuwa mama bora wa watoto wako. Wanawake wana changamoto zao kweli ila watu genuine wapo. Anyways mapenzi ni kamari tu na yenyewe sikuiz you have to give it a try ili ujue kipi ni kipi. Juz nlikuwa nafanya kazi na dada mmoja manager benk moja kubwa hapa mjini ana mtoto mmoja na hajaolewa na ni mzuri, (tako ipo, rangi nyeupe, na sura nzuri) kwa vigezo vya wengi humu mzuri ndio huwa yuko hivyo, ila sasa aisee ni changamoto sana huyu mtu yan kukaa na mwanaume ni haiwezekani kabisa, nikawaza nikasema huyu hata mazingira ya kuwa single maza alijitengenezea mwenyewe maana kuna mtu ukimwona tu unajua huyu kwa tabia zake lazima kuna mtu atamzalisha then atamkimbia ila sababu wanakuaga wajuaji ukimwambia ataleta ujuaji inabid ukae kimya. Nasisitiza tena wanawake genuine wapo wanamatatizo yao kidogo ila yanazungumzika na yanarekebishika, wanahitaji tu mtu wa kuwaambia tu kwamba hili haliko sawa , hili lipo sawa na wanaenda kujirekebisha ,
 
Mwenye wtt 2 look like your choice kaka,I know how you feel ila itakua ulimpenda sn huyo
 
Sema single mamas wakiwa wanakutegea kukusikilizia wanajua sana kukuigizia ngoja uingie mkenge sasa ndio utajua kwanini aliyemzalisha hakumuoa...
Usumbufu wa single mother kama si mwanamke malaya upo kwa baba wa watoto.

Ukishajiridhisha kuwa baba wa watoto wake hana madhara basi tatizo si kubwa kama tunavyojiaminishaga humu.

Tena mara nyingine inakuwa zaidi ya ulivyotegemea, mwanamke anakuwa anatumia nguvu kubwa asikupoteze sababu anaamini kuwa na watoto na kupata mwanaume ni bahati mno.
 
We mwenyewe sio full package harafu unataka upate MWANAMKE fully package ni tatizo

Moja ya kanuni kubwa ya MAHUSIANO ni hi

"KUMPA MTU SAHIHI KINAANZIA NA WEWE KUA SAHIHI"

Kamwe huwezi kupata mwenza SAHIHI kama wewe mwenyewe sio SAHIHI, kama wewe sio sahihi utaishia kumeet with wrong peoples for all your relationship life na kufanya nao uasherati na kuwaacha ndio yatakua maisha yako na hata kama ukioa NDOA itakua na changamoto nyingi sana b'se hutokaa umuamini mke wako b'se we mwenyewe sio mwaminifu

NOTE: "AONAVYO MTU NAFSINI MWAKE NDIVYO ALIVYO"

Mwizi Lazima ataona anaibiwa kila muda b'se yeye mwenyewe ni mwizi, kama wewe ni mwizi lazima utahisi unaibiwa kila muda ✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…