Hawa makada wa CHADEMA niliowataja ni vigumu mnoo kuendelea kuwa wanachama wapigania mabadiliko ndani ya CHADEMA hii ya msimamo mkali wa kisiasa.
Ni suala la muda tu.
Kuna ambao wangetaka kuondoka wakati huu pia, ila mfumo unawabakiza hili kujua mipango na mikakati ya CHADEMA hasa wakati huu wa joto la kisiasa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa hotuba ya Rais jana, Lissu si wa kutoka leo wala kesho gerezani, hivyo Heche ana kazi kubwa na kwakuwa mishale ni mingi muno kuelekea CHADEMA, endapo naye atawekwa kolokoloni kazi itakuwa ni ngumu kweli kweli.
Hii miezi 4 kuelekea October ni migumu sana kisiasa, ila baada ya hapo mambo yatatulia na uhenda wengine wakaomba kurejea tena CHADEMA.