Dah!Hawatakuelewa. Wafuasi wao wanaamini kuwa huu upepo ni nyoka kujivua gamba. Wanaamini sana katika mtu anayepiga makelele mengi na kutumia maneno makali majukwaani. Mzee wa chauma pamoja na kwamba hatafika popote na aina yake ya siasa, ila anaonesha kuwa anayo akili ya ushawishi wa chinichini pasi na kupayuka ya kuwashawishi watu. Siku akipata tim nzuri na watu smart kichwani anaweza kufanya kikubwa kwa siasa za kimya kimya.
Achana na huyo Mzee Rungwe. Mimi nakuona wewe ukipaa hadi mbinguni kwa kutumia gari liliopambwa kwa dhahabu!
Naheshimu sana maoni yako, pamoja na kwamba ni ya kiajabu sana.