Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 3,014
- 7,343
Wajiandae kwa vikwazo vya kimataifaNi kweli, wanataka akae kolokoloni hadi uchaguzi upite, hata Heche huyu washaanza kumlenga kimya kimya.
Wajiandae kwa vikwazo vya kimataifaNi kweli, wanataka akae kolokoloni hadi uchaguzi upite, hata Heche huyu washaanza kumlenga kimya kimya.
Ikiwa ni hivyo ruksa kwenda kupiga dili wanapopigaga?Hawa makada wa CHADEMA niliowataja ni vigumu mnoo kuendelea kuwa wanachama wapigania mabadiliko ndani ya CHADEMA hii ya msimamo mkali wa kisiasa.
Ni suala la muda tu.
Kuna ambao wangetaka kuondoka wakati huu pia, ila mfumo unawabakiza hili kujua mipango na mikakati ya CHADEMA hasa wakati huu wa joto la kisiasa.
Kwa hotuba ya Rais jana, Lissu si wa kutoka leo wala kesho gerezani, hivyo Heche ana kazi kubwa na kwakuwa mishale ni mingi muno kuelekea CHADEMA, endapo naye atawekwa kolokoloni kazi itakuwa ni ngumu kweli kweli.
Hii miezi 4 kuelekea October ni migumu sana kisiasa, ila baada ya hapo mambo yatatulia na uhenda wengine wakaomba kurejea tena CHADEMA.
brazaj ona comments za waliopevuka!
Vikwazo sababu ya Chadomo? 😁😁Wajiandae kwa vikwazo vya kimataifa
Kwa awavimbie USA na Europe? Hawezi kutoboa atakufa kwa presha msimdanganyeKuna option ya China, Eastern Europe na Arabuni, sio lazima western Europe na Marekani.
Akili yako imekaa kimatakomatako, huwa sijadili na wapumbavu dizaini yakoVikwazo sababu ya Chadomo? [emoji16][emoji16]
Yaani 🇹🇿 iwekewe vikwazo sababu ya hizo takataka za huko Chadomo?Akili yako imekaa kimatakomatako, huwa sijadili na wapumbavu dizaini yako
Hawatakuelewa. Wafuasi wao wanaamini kuwa huu upepo ni nyoka kujivua gamba. Wanaamini sana katika mtu anayepiga makelele mengi na kutumia maneno makali majukwaani. Mzee wa chauma pamoja na kwamba hatafika popote na aina yake ya siasa, ila anaonesha kuwa anayo akili ya ushawishi wa chinichini pasi na kupayuka ya kuwashawishi watu. Siku akipata tim nzuri na watu smart kichwani anaweza kufanya kikubwa kwa siasa za kimya kimya.Ni mpumbavu pekee ndio atakuwa kwenye chama ambacho ukikosoa Mwenyekiti na wapambe wake unaitwa msaliti 😁😁
Pili kulibalika na wasio na Nguvu itakusaidia nini?
Kwenye mijadala inayohitaji hoja huwa hauweki matusi comrade. Hizi ndio huwa naziita tabia za vijana wa blue na nyekundu, very aggressive and arrogantAkili yako imekaa kimatakomatako, huwa sijadili na wapumbavu dizaini yako
lisu na wenje hawana msimamo mkali wowote gentleman,Hawa makada wa CHADEMA niliowataja ni vigumu mnoo kuendelea kuwa wanachama wapigania mabadiliko ndani ya CHADEMA hii ya msimamo mkali wa kisiasa.
Ni suala la muda tu.
Kuna ambao wangetaka kuondoka wakati huu pia, ila mfumo unawabakiza hili kujua mipango na mikakati ya CHADEMA hasa wakati huu wa joto la kisiasa.
Kwa hotuba ya Rais jana, Lissu si wa kutoka leo wala kesho gerezani, hivyo Heche ana kazi kubwa na kwakuwa mishale ni mingi muno kuelekea CHADEMA, endapo naye atawekwa kolokoloni kazi itakuwa ni ngumu kweli kweli.
Hii miezi 4 kuelekea October ni migumu sana kisiasa, ila baada ya hapo mambo yatatulia na uhenda wengine wakaomba kurejea tena CHADEMA.

Vipi baada ya October, hao watu wasipopata hivyo vyeo , watabakia huko huko au wataomba kurejea tena?Tundu lisu anakubalika sana na watu, Heche hali kadharika. Shida yao ni misimamo yao mikali isiyotazama hatma za wengine. Msimamo wao unawanyima wanachama wao uhalali wa kugombea nafasi za uongozi, na hio ni moja ya sababu watu kula chocho. Siasa ni maisha ya watu, inapofika hatua mtu haoni hatima yake anaanza kufikiru ataendeshaje maisha yake na familia yake, hapo ndio anapofanya maamuzi ya kwenda sehemu nyingine itakayompa nafasi. Ni ulweli usiopingingika kuwa tutaendeleza harakati tukiwa tumeshiba na wanaokutegemea wameshiba. Tofauti na hapo tunadanganyana. Watu wameshindwa kuendana na msimamo wa chama kwa sababu unawanyima haki ya kigombea nafasi ambazo zingefanya maisha yaendelee na wao waendelee kupigania chama
Kwahiyo huko CCM mnaruhusu kumkosoa mwenyekiti?Ni mpumbavu pekee ndio atakuwa kwenye chama ambacho ukikosoa Mwenyekiti na wapambe wake unaitwa msaliti [emoji16][emoji16]
Pili kulibalika na wasio na Nguvu itakusaidia nini?
lisu na wenje hawana msimamo mkali wowote gentleman,
ila tu wamepungukiwa hekima na busara na wamejaaliwa sana ukurupukaji, kuropoka, kubwekabwe na kuomba omba kuchangiwa pesa za kujikimu.
ni lofa pekee asie na maono ndie anaweza kuishi na kudumu ndani ya uongozi wao![]()
Kwanini walioshindwa hiyo misimamo ni wale tu waliokuwa wafuasi wa Mbowe?Tundu lisu anakubalika sana na watu, Heche hali kadharika. Shida yao ni misimamo yao mikali isiyotazama hatma za wengine. Msimamo wao unawanyima wanachama wao uhalali wa kugombea nafasi za uongozi, na hio ni moja ya sababu watu kula chocho. Siasa ni maisha ya watu, inapofika hatua mtu haoni hatima yake anaanza kufikiru ataendeshaje maisha yake na familia yake, hapo ndio anapofanya maamuzi ya kwenda sehemu nyingine itakayompa nafasi. Ni ulweli usiopingingika kuwa tutaendeleza harakati tukiwa tumeshiba na wanaokutegemea wameshiba. Tofauti na hapo tunadanganyana. Watu wameshindwa kuendana na msimamo wa chama kwa sababu unawanyima haki ya kigombea nafasi ambazo zingefanya maisha yaendelee na wao waendelee kupigania chama
NdioKwahiyo huko CCM mnaruhusu kumkosoa mwenyekiti?
Nawaza kama wewe. Hawa jamaa hawana msalie mtume aisee. Wameamua kupambana na CCM mpera mpera.Hawa makada wa CHADEMA niliowataja ni vigumu mnoo kuendelea kuwa wanachama wapigania mabadiliko ndani ya CHADEMA hii ya msimamo mkali wa kisiasa.
Ni suala la muda tu.
Kuna ambao wangetaka kuondoka wakati huu pia, ila mfumo unawabakiza hili kujua mipango na mikakati ya CHADEMA hasa wakati huu wa joto la kisiasa.
Kwa hotuba ya Rais jana, Lissu si wa kutoka leo wala kesho gerezani, hivyo Heche ana kazi kubwa na kwakuwa mishale ni mingi muno kuelekea CHADEMA, endapo naye atawekwa kolokoloni kazi itakuwa ni ngumu kweli kweli.
Hii miezi 4 kuelekea October ni migumu sana kisiasa, ila baada ya hapo mambo yatatulia na uhenda wengine wakaomba kurejea tena CHADEMA.
Unganisha dots mwenyewe. Watu wanakua upande ambao una sera wanazoziamini. Ninkama wewe, upo upande wa sera unazoziamini, zikienda tofauti na ukaendelea kuwa upande huo maana yake wewe ni mfuasi wa mtu na sio mfuasi wa sera ya mtu. Walikua upande wa mbowe kwa sabau walielewa sera ya mbowe, wanaondoka kwa sababu hawaielewi sera mpyaKwanini walioshindwa hiyo misimamo ni wale tu waliokuwa wafuasi wa Mbowe?
Ukijua kua siasa ni kazi na ni maisha ya watu huwezi niuliza hili swali. Kwani kuhama chama wameanza wao?? Kuhama chama kisha kurudi tena wataanza wao? Huu ni mchezo, watu wanachanga karata zao. Zinapigwa hesabu kali sana huku watu wanajua ikibuma tutatokea wapi. Sisi mashabiki maandazi ndio tunabaki kunyukana JF na kuwashangilia tukiwaita mashujaa, tungejua tungefanya mambo yetuVipi baada ya October, hao watu wasipopata hivyo vyeo , watabakia huko huko au wataomba kurejea tena?
Kamkosoe Samia tuone,kama hatutakukuta kwenye msitu wa Mabwepande ukiwa uchi.Ni mpumbavu pekee ndio atakuwa kwenye chama ambacho ukikosoa Mwenyekiti na wapambe wake unaitwa msaliti 😁😁
Pili kulibalika na wasio na Nguvu itakusaidia nini?