Uko sahihi, nimeandika kwa tumekwisha!Labda saratog ya USA iambae Indian ocean! hivi hivi hatoki....kumnyonga hapana, watamshikilia mpaka may be end of uchaguziKwa hotuba ya Rais jana, Lissu si wa kutoka leo wala kesho gerezani,
Tanzania sheria ni kama haifanyi kazi, wanachofanya na kuhairisha tu kesi huku wakitoa sababu ushahidi bado haujakamilika.Kitakachomtoa lisu ni sheria baada ya za uso kwa serikali na mawakili wake mahakamani ,pili lapili siamini samia endapo ataendesha nchi kwa mikopo pekeake........ulaya na uzwazwa ni mambo mawili njia tofauti
Ni kweli, wanataka akae kolokoloni hadi uchaguzi upite, hata Heche huyu washaanza kumlenga kimya kimya.Uko sahihi, nimeandika kwa tumekwisha!Labda saratog ya USA iambae Indian ocean! hivi hivi hatoki....kumnyonga hapana, watamshikilia mpaka may be end of uchaguzi
Sikwa kesi ya lisuTanzania sheria ni kama haifanyi kazi, wanachofanya na kuhairisha tu kesi huku wakitoa sababu ushahidi bado haujakamilika.
Ni kweli na ukizingatia Mbeya mjini jimbo limegawanywa.Wataenda chaumma au CCM. Sugu anautaka ubunge.
hachukui round wanamlia timing, ndiyo mana nasema apunguze ukali wa manenoNi kweli, wanataka akae kolokoloni hadi uchaguzi upite, hata Heche huyu washaanza kumlenga kimya kimya.
Wawahi nafasi Chauma kama Sugu anataka Ubunge.Hawa makada wa CHADEMA niliowataja ni vigumu mnoo kuendelea kuwa wanachama wapigania mabadiliko ndani ya CHADEMA hii ya msimamo mkali wa kisiasa.
Ni suala la muda tu.
Kuna ambao wangetaka kuondoka wakati huu pia, ila mfumo unawabakiza hili kujua mipango na mikakati ya CHADEMA hasa wakati huu wa joto la kisiasa.
Kwa hotuba ya Rais jana, Lissu si wa kutoka leo wala kesho gerezani, hivyo Heche ana kazi kubwa na kwakuwa mishale ni mingi muno kuelekea CHADEMA, endapo naye atawekwa kolokoloni kazi itakuwa ni ngumu kweli kweli.
Hii miezi 4 kuelekea October ni migumu sana kisiasa, ila baada ya hapo mambo yatatulia na uhenda wengine wakaomba kurejea tena CHADEMA.
Kuna option ya China, Eastern Europe na Arabuni, sio lazima western Europe na Marekani.Kitakachomtoa lisu ni sheria baada ya za uso kwa serikali na mawakili wake mahakamani ,pili lapili siamini samia endapo ataendesha nchi kwa mikopo pekeake........ulaya na uzwazwa ni mambo mawili njia tofauti
Mikopo na kuendesha Nchi vinaingiaje hapo?Kitakachomtoa lisu ni sheria baada ya za uso kwa serikali na mawakili wake mahakamani ,pili lapili siamini samia endapo ataendesha nchi kwa mikopo pekeake........ulaya na uzwazwa ni mambo mawili njia tofauti
Ni mpumbavu pekee ndio atakuwa kwenye chama ambacho ukikosoa Mwenyekiti na wapambe wake unaitwa msaliti ๐๐Tundu lisu anakubalika sana na watu, Heche hali kadharika. Shida yao ni misimamo yao mikali isiyotazama hatma za wengine. Msimamo wao unawanyima wanachama wao uhalali wa kugombea nafasi za uongozi, na hio ni moja ya sababu watu kula chocho. Siasa ni maisha ya watu, inapofika hatua mtu haoni hatima yake anaanza kufikiru ataendeshaje maisha yake na familia yake, hapo ndio anapofanya maamuzi ya kwenda sehemu nyingine itakayompa nafasi. Ni ulweli usiopingingika kuwa tutaendeleza harakati tukiwa tumeshiba na wanaokutegemea wameshiba. Tofauti na hapo tunadanganyana. Watu wameshindwa kuendana na msimamo wa chama kwa sababu unawanyima haki ya kigombea nafasi ambazo zingefanya maisha yaendelee na wao waendelee kupigania chama
soma aya ya tatu kwenye bandiko ,msijibu vitu mkiwa hamjasoma mkaelewaMikopo na kuendesha Nchi vinaingiaje hapo?
brazaj ona comments za waliopevuka!hachukui round wanamlia timing, ndiyo mana nasema apunguze ukali wa maneno
Hakuna uhusiano wowote wa mikopo na mambo yenu ya kina Lisu na Chademasoma aya ya tatu kwenye bandiko ,msijibu vitu mkiwa hamjasoma mkaelewa
huwezi kunielewa na kichwani umejaza uvccm badala ya tafakuriHakuna uhusiano wowote wa mikopo na mambo yenu ya kina Lisu na Chadema
๐ฎ๐ฎhuwezi kunielewa na kichwani umejaza uvccm badala ya tafakuri