PreGE2025 Ni ngumu sana Sugu, Wenje, Mbowe kubakia CHADEMA hii yenye msimamo mkali ya Lissu na Heche

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ikiwa ni hivyo ruksa kwenda kupiga dili wanapopigaga?
 
Akili yako imekaa kimatakomatako, huwa sijadili na wapumbavu dizaini yako
Yaani 🇹🇿 iwekewe vikwazo sababu ya hizo takataka za huko Chadomo?

Nani wa kuthubutu kuharibu maslahi ya kiuchumi kisa hao useless?

🚮🚮🚮
 
Ni mpumbavu pekee ndio atakuwa kwenye chama ambacho ukikosoa Mwenyekiti na wapambe wake unaitwa msaliti 😁😁

Pili kulibalika na wasio na Nguvu itakusaidia nini?
Hawatakuelewa. Wafuasi wao wanaamini kuwa huu upepo ni nyoka kujivua gamba. Wanaamini sana katika mtu anayepiga makelele mengi na kutumia maneno makali majukwaani. Mzee wa chauma pamoja na kwamba hatafika popote na aina yake ya siasa, ila anaonesha kuwa anayo akili ya ushawishi wa chinichini pasi na kupayuka ya kuwashawishi watu. Siku akipata tim nzuri na watu smart kichwani anaweza kufanya kikubwa kwa siasa za kimya kimya.
 
Akili yako imekaa kimatakomatako, huwa sijadili na wapumbavu dizaini yako
Kwenye mijadala inayohitaji hoja huwa hauweki matusi comrade. Hizi ndio huwa naziita tabia za vijana wa blue na nyekundu, very aggressive and arrogant
 
lisu na wenje hawana msimamo mkali wowote gentleman,
ila tu wamepungukiwa hekima na busara na wamejaaliwa sana ukurupukaji, kuropoka, kubwekabwe na kuomba omba kuchangiwa pesa za kujikimu.

ni lofa pekee asie na maono ndie anaweza kuishi na kudumu ndani ya uongozi wao
 
Vipi baada ya October, hao watu wasipopata hivyo vyeo , watabakia huko huko au wataomba kurejea tena?
 

Hii si ndiyo inayoitwa kisebu sebu na kiroho papo? Au?
 
Kwanini walioshindwa hiyo misimamo ni wale tu waliokuwa wafuasi wa Mbowe?
 
Najiuliza. Hao wanaotoka CHADEMA na kwenda vyama vingine (CHAUMMA, ACT, n.k.) kwa minajili ya kugombea ubunge. Kweli watakubalika na kuwa na ushawishi ule ule kwa wananchi kama walipokuwa CHADEMA? AU kama wanaCCM ndio wameamua kutegemea dola iwategemeze kwenye siasa.

Manake hadi leo wanasiasa machachari walioondoka CHADEMA na kwenda kwingine, wanapuuzwa kweli kweli. Yaani imagine Halima Mdee na wenzake (Covid-19) wakiongea point nzito nzito bungeni na kwa hamasa kubwa, hoja zao hazipati mapokeo kama enzi walipokuwa CHADEMA. Wapinzani wanawapuuza; wabunge wenzao na mawaziri wa CCM wanawakejeli badala ya kuhaha kutafuta majibu muafaka kama zamani. Mawaziri toka CHADEMA ni kama hawapo (invisible) ukiondoa Mollel anayeacha taswira ya kitaahira!

Sasa, pata picha: Mbowe, Sugu, Wenje kama wabunge wa CHAUMMA sponsored by serikali! 🙄 🤔

Just my imagination running away with me!
 
Nawaza kama wewe. Hawa jamaa hawana msalie mtume aisee. Wameamua kupambana na CCM mpera mpera.
 
Kwanini walioshindwa hiyo misimamo ni wale tu waliokuwa wafuasi wa Mbowe?
Unganisha dots mwenyewe. Watu wanakua upande ambao una sera wanazoziamini. Ninkama wewe, upo upande wa sera unazoziamini, zikienda tofauti na ukaendelea kuwa upande huo maana yake wewe ni mfuasi wa mtu na sio mfuasi wa sera ya mtu. Walikua upande wa mbowe kwa sabau walielewa sera ya mbowe, wanaondoka kwa sababu hawaielewi sera mpya
 
Vipi baada ya October, hao watu wasipopata hivyo vyeo , watabakia huko huko au wataomba kurejea tena?
Ukijua kua siasa ni kazi na ni maisha ya watu huwezi niuliza hili swali. Kwani kuhama chama wameanza wao?? Kuhama chama kisha kurudi tena wataanza wao? Huu ni mchezo, watu wanachanga karata zao. Zinapigwa hesabu kali sana huku watu wanajua ikibuma tutatokea wapi. Sisi mashabiki maandazi ndio tunabaki kunyukana JF na kuwashangilia tukiwaita mashujaa, tungejua tungefanya mambo yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…