PreGE2025 Ni ngumu sana Sugu, Wenje, Mbowe kubakia CHADEMA hii yenye msimamo mkali ya Lissu na Heche

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Dah!
Achana na huyo Mzee Rungwe. Mimi nakuona wewe ukipaa hadi mbinguni kwa kutumia gari liliopambwa kwa dhahabu!

Naheshimu sana maoni yako, pamoja na kwamba ni ya kiajabu sana.
 
hachukui round wanamlia timing, ndiyo mana nasema apunguze ukali wa maneno
Kwani hata wakimdaka itasaidia nn CCM kujisafisha ili kuleta mvuto kwa raia wa kawaida?? Watz siyo wajinga wanaelewa michezo yao.

Usishangae Tarime kuwa kama Pemba enzi za Late Maalim. Wakurya sio wamchezo mchezo. Sasa hivi hali siyo shwari kwa mboga mboga.
 
Vipi kuhusu waliokuwa wakizikubali sera za hayati Magufuli? Wanaokubali sera za huyu wa sasa!?
Kwa sasa mkuu hawana option ya kuchagua, kama walimpenda ni hayupo tena, hivyo hawana budi kuungana na aliyepo. Ukumbuke aliyepo yupo kwa mujibu wa katiba, ingefanyikaje sasa, katiba ikiukwe? Waweke mgomo? Waanzishe fujo? Maandamano? Sio kweli. Nimesemea mara nyingi sana humu, ili uive na ukubalike kuwa kijani na njano jambo la kwanza uwe obedient kwa wakubwa wako wa umri na cheo. Silaha kubwa sana hio wanaitumia kijani na njano. Falsafa hii wanafundishwa tangu wakiwa chip**ukizi, UV..

Watu wa kijani na njano kuna muda huwa wanakubaliana kutokukubaliana. Kuna muda wanakua na makundi ndani kwa ndani ila ile obedience waliyonayo akitoka mkubwa mmoja akasema ni hivi basi wanabaki kunung’unika chinihini tu. Inawezekana kuna watu kweli hawakubaliani na aliyepo ila nidhamu waliyojijengea itawalazimu wasubiri, huwa wapo tayari kwa hilo, ni wavumilivu sana
 
Sasa, pata picha: Mbowe, Sugu, Wenje kama wabunge wa CHAUMMA sponsored by serikali!
Hili litakuwa jambo la kipekee sana ambalo wengi wetu tusingelitegemea kabisa!
Nimwone Mbowe Bungeni chini ya CHAUMMA! Tena iwe chini ya ufadhili wa CCM!

Labda niseme tu kwamba hilo halitakuwa jambo la kushangaza kwa sababu tu CCM imetulazimisha tukubali lolote linawezekana ndani ya nchi hii, chini ya utawala wao.
Siasa haina 'conviction' tena. Hakuna wito wa kuwatumikia wananchi; badala yake ni kwenda kujitumikia wenyewe.
 
Mandela alikaa hela miaka 27
Uko sahihi, nimeandika kwa tumekwisha!Labda saratog ya USA iambae Indian ocean! hivi hivi hatoki....kumnyonga hapana, watamshikilia mpaka may be end of uchaguzi
jela miaka 27
 
Uko vizuri kutokana na maelezo yako na unajua unachokifanya. Wewe sio Chawa.✍️🤝
 
Na ndivyo ilivyo siasa ya kileo. Lisu bado yuko kwenye siasa za akina Patrice Lumumba
Kwahiyo siasa za kileo kwa gharama za damu za Watanzania na wengine kupata vilema?

Hizo ndio siasa za kileo? Mimi niwe wa kizamani tu.

No reform no election sipigi kura uchaguzi wa maigizo.
 
Kwahiyo siasa za kileo kwa gharama za damu za Watanzania na wengine kupata vilema?

Hizo ndio siasa za kileo? Mimi niwe wa kizamani tu.

No reform no election sipigi kura uchaguzi wa maigizo.
Umemjibu vizuri huyo fisadi wa kisiasa.
Hawa wa aina hii ndio waliojazana ndani ya CCM siku hizi.
Huyu anaongea kama Peter Madeleke aliye hamia ACT; huenda ndiye yeye
 
Hata hueleweki unacho jaribu kueleza. Ni kwamba umechanganyikiwa.
Katika hali hiyo unayoielezea, unataka upinzani wa kazi gani, kama kila mwanasiasa anakwenda kusimamia manufaa yake binafsi.
Hata 'concept' ya uongozi na mahitaji ya kuwa na viongozi wa nchi wanaojali maslahi ya nchi zao, kwako ni jambo usilolijuwa kabisa!
Uliwahi kuona wapi mtindo wa kisiasa kama unaojaribu kuueleza hapa bila ya uelewa wowote unachokizungumzia!
 
Umemjibu vizuri huyo fisadi wa kisiasa.
Hawa wa aina hii ndio waliojazana ndani ya CCM siku hizi.
Huyu anaongea kama Peter Madeleke aliye hamia ACT; huenda ndiye yeye
Mimi si mwanachama wa Chadema lakini niliunga mkono Mbowe ashinde tena Uenyekiti Chadema lakini wapiga kura walipiga kura kutokana na mahitaji ya wakati siyo kama Mbowe hafai bali siyo wakati wake na style ya siasa zake.

Sasa hivi najuta kwa nini sikumuunga mkono mapema Lisu, huyu mtu angekuwa mwenyekiti kabla ya uchaguzi ulioisha nadhani Watanzania tungekuwa tumeshafika safari yatu na reforms zingekuwa zimefanyika.

Huwezi kupata reforms kwa kunywa chai ikulu au kupiga porojo na kina Kinana huku mnagawana posho.

Nakumbuka hata Mzee Mandela alikasirika hawezi kuendelea kuwasuruhisha Warundi huku wanasiasa wanachojali ni posho za vikao kwahiyo vikao vya usuluhishi haviishi, hizi ndio siasa alizozikataa Tundu Lisu ambazo zilikumbatiwa na Mbowe na kupachikwa jina la maridhiano utapeli mtupu.
 
Hata akiondoka lissu chadema ni yetu raia/Wananchi..
Ndio cdm haina mtu
 
Chadema iko wapi ndg, hii imeshakwisha, jana Madeleka amejiunga na ACT-Wazalendo, bd kuna uhakiki unafanyika bd wao wanadharau kila mamlaka, ninachokiona hicho chama kinaweza kufutwa. Chadema sahv inaongozwa na wapumbavu, wanajidanganya na mahudhurio ya wananchi kwenye mikutano
yao, wamekaa km watoto wadogo, wale siyo wote ni wanachama wao wengine wanaenda tu kupoteza muda na kujiburudisha na zile povu zao. Chama kitafutwa na hakuna kitakachotokea, wanategemea wananchi wataandamana, hakuna kt km hicho hp Tanzania. Lissu anaweza kutoka korokoroni akakuta chama hakipo tena sijui ataenda kupiga kelele wapi. Ni suala la muda
 
shida yao ipi
 
 
Ni kweli hao muda sio mrefu wataunga juhudi za ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…