ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Mambo yote ni Chauma ndio habari ya MjiniKwani hata wakimdaka itasaidia nn CCM kujisafisha ili kuleta mvuto kwa raia wa kawaida?? Watz siyo wajinga wanaelewa michezo yao.
Usishangae Tarime kuwa kama Pemba enzi za Late Maalim. Wakurya sio wamchezo mchezo. Sasa hivi hali siyo shwari kwa mboga mboga.
Hapo hapo ccm inajiita inavipawa vya uongozi .....ndo haoHuyo chawa huwa hasomi anajibu kama yuko mwezini!
Sugu akienda chauma hawezi kutoboa Ubunge wa Mbeya Mdude kumbuka mpaka sasa hajapatikana na Mdude ni msafa kama sikosei Sugu akitaka kufeli kwenda ChaumaWawahi nafasi Chauma kama Sugu anataka Ubunge.
Pia Chauma ndio chama pekee kilichopata Mwenyekiti wa mtaa hapo Mbeya mjini ukiacha CCM.
Wengine waliambulia zero.
Siasa sio biashara lazima uwe na kazi nyingine ya kufanya unategemea Siasa kuishi? Come onTundu lisu anakubalika sana na watu, Heche hali kadharika. Shida yao ni misimamo yao mikali isiyotazama hatma za wengine. Msimamo wao unawanyima wanachama wao uhalali wa kugombea nafasi za uongozi, na hio ni moja ya sababu watu kula chocho. Siasa ni maisha ya watu, inapofika hatua mtu haoni hatima yake anaanza kufikiru ataendeshaje maisha yake na familia yake, hapo ndio anapofanya maamuzi ya kwenda sehemu nyingine itakayompa nafasi. Ni ulweli usiopingingika kuwa tutaendeleza harakati tukiwa tumeshiba na wanaokutegemea wameshiba. Tofauti na hapo tunadanganyana. Watu wameshindwa kuendana na msimamo wa chama kwa sababu unawanyima haki ya kigombea nafasi ambazo zingefanya maisha yaendelee na wao waendelee kupigania chama
Akikupa jibu ni tag hapaKwahiyo huko CCM mnaruhusu kumkosoa mwenyekiti?
Sasa atapatia wapi huo Ubunge wakati Chadomo hawagombei?Sugu akienda chauma hawezi kutoboa Ubunge wa Mbeya Mdude kumbuka mpaka sasa hajapatikana na Mdude ni msafa kama sikosei Sugu akitaka kufeli kwenda Chauma
Hili ni tatizo kubwa, Lissu hana kazi wakati Mbowe ana kazi yake ya biashara.Siasa sio biashara lazima uwe na kazi nyingine ya kufanya unategemea Siasa kuishi? Come on
SSH anaweza kudhibiti yale tu anayowaza na kuweza kudhibiti!Hawa makada wa CHADEMA niliowataja ni vigumu mnoo kuendelea kuwa wanachama wapigania mabadiliko ndani ya CHADEMA hii ya msimamo mkali wa kisiasa.
Ni suala la muda tu.
Kuna ambao wangetaka kuondoka wakati huu pia, ila mfumo unawabakiza hili kujua mipango na mikakati ya CHADEMA hasa wakati huu wa joto la kisiasa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa hotuba ya Rais jana, Lissu si wa kutoka leo wala kesho gerezani, hivyo Heche ana kazi kubwa na kwakuwa mishale ni mingi muno kuelekea CHADEMA, endapo naye atawekwa kolokoloni kazi itakuwa ni ngumu kweli kweli.
Hii miezi 4 kuelekea October ni migumu sana kisiasa, ila baada ya hapo mambo yatatulia na uhenda wengine wakaomba kurejea tena CHADEMA.
Endelea kuishi humo mpaka utakapokua disappointedSiasa sio biashara lazima uwe na kazi nyingine ya kufanya unategemea Siasa kuishi? Come on
Wakupotea watapotea... wakuishi wataishi!Siasa za kiharakati kwasasa ni mbaya sana ,hazina faida ,siasa nzuri ni za kukaa mezani kupambana kwenye uwanja wa vita.
Saidi Mpaluka Nyagali Sumu ya Nyigu 7x70 kashapotea ,who's next?
punguzen ujinga lissu atatoka lakini kwa kuchelewa sana kinachofanyika hapo ni kumpotezea muda tuKitakachomtoa lisu ni sheria baada ya za uso kwa serikali na mawakili wake mahakamani ,pili lapili siamini samia endapo ataendesha nchi kwa mikopo pekeake........ulaya na uzwazwa ni mambo mawili njia tofauti
Kwa Tanzania, siasa ni biashara yenye utapeli mkubwa sana!Siasa sio biashara lazima uwe na kazi nyingine ya kufanya unategemea Siasa kuishi? Come on
Ndio maana tunasema NO REFORMS, NO ELECTION.Nani kakwambia kura Yako inahitajika?
Sugu atakuwa anafanya makosa makubwa sana kama atagombea ubunge kwa chama chochote kile!! Awe na subira angoje ubunge wa uhakika wa Chadema.Sugu akienda chauma hawezi kutoboa Ubunge wa Mbeya Mdude kumbuka mpaka sasa hajapatikana na Mdude ni msafa kama sikosei Sugu akitaka kufeli kwenda Chauma
UnabetHawa makada wa CHADEMA niliowataja ni vigumu mnoo kuendelea kuwa wanachama wapigania mabadiliko ndani ya CHADEMA hii ya msimamo mkali wa kisiasa.
Ni suala la muda tu.
Kuna ambao wangetaka kuondoka wakati huu pia, ila mfumo unawabakiza hili kujua mipango na mikakati ya CHADEMA hasa wakati huu wa joto la kisiasa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa hotuba ya Rais jana, Lissu si wa kutoka leo wala kesho gerezani, hivyo Heche ana kazi kubwa na kwakuwa mishale ni mingi no kuelekea CHADEMA, endapo naye atawekwa kolokoloni kazi itakuwa ni ngumu kweli kweli.
Hii miezi 4 kuelekea October ni migumu sana kisiasa, ila baada ya hapo mambo yatatulia na uhenda wengine wakaomba kurejea tena CHADEMA.
Sugu akienda chauma amekwisha kisiasa kabisa awezi kupata kura yoyoteWawahi nafasi Chauma kama Sugu anataka Ubunge.
Pia Chauma ndio chama pekee kilichopata Mwenyekiti wa mtaa hapo Mbeya mjini ukiacha CCM.
Wengine waliambulia zero.