Ni nini dawa ya mchwa? Wanamaliza mikaratusi yangu

Ni nini dawa ya mchwa? Wanamaliza mikaratusi yangu

kajekudya

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
2,466
Reaction score
4,916
Mada tajwa hapo juu

Wakuu mwenye ujuzi hapo au uzoefu wa dawa nzuri ya hawa wadudu anisaidie. Wananipa kipigo kitakatifu mno
 
IMG_20220129_131217_676.jpg
 
Back
Top Bottom