Pamoja sana. Kiswahili kubovu kinaleta ukakasi kusoma au kutamka. Ila nina amini kila siku tunajifunza na tuendelee kujifunza.Shukrani mkuu, tuzidi kupekua makabrasha kuona ukweli wenyewe umekaaje kwa sababu hata mimi sipendi matumizi ya kiswahili kibovu.
🤔🤔🤔🤔🤔Jael njoo uwafunde mabinti.
Ila sijui kwanini wadada wanaanzaga kuwa watiifu wakiwa na 29 30 31
Lakini 22 au mid twent somo la heshima na utii halieleweki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ila akishakuwa mtiifu na mnyenyekevu sidhani kama atakuwa na makeleleNa asiye na makelele......
Sasa kama hujiwezi ufanyiwe nini wiki inapita hata mwezi kazi nikuhesabu kama mijusi mingapi imekatiza, kifuatacho hapo nini!Hakunaga kusaidiwa wewe.
Mimi nikikukamata unachepuka nakukata kifanyio
Unazani vichwa vyote vinaweza kuongoza njia? Vingine mpaka vishikriwe shingoMsikilize bwana wako kwa makini, ukijua yeye ni kichwa cha nyumba utapata jibu.
Ukitaka yote hayo jikague kama wewe mwenyewe unayo au ni mme bora, si kutafuta mke mwenye sifa hizo ikiwa wewe mwenyewe hata moja haikai, na hizo tabia kama za mama yupi! Kwani kina mama wote wanatabia njema? Ujue na Baba zetu nao walikuwa na yao.Wanawake mna vitu vingi sana mnapretend..
Wangi hamko really.
Live long Laiboni...(nimekupandisha cheo toka lile jina nililoshindwa litamka...laigunian sijui nimepatia aahahah).
Na kila mwanaune ajitwike kichwani mke wake muda wote bila kuchoka, ili asijemtua au kumuweka pembeni akajikuta anasaidiwa na mwanaume
Zaidi ni kwenye kushirikishwa japo muda mwingine automatically bila kushirikishwa kutegemea na mazingira ama mtu wako alivoWakuu; kuna hoja mnasema " Awe mwenye maono/ mshauri mzuri)
Hapo pa kumshauri mtoto wa mama mkwe hio fursa inatokea kwa kushirikishwa na yeye mwenyewe? au unaingilia tu uhuru wa maisha/maendeleo yake unaanza kumshauri?
Muongozo tafadhali, maana unaweza mpa mtu uhuru wa kutoingilia mambo yake kumbe ndio unakosa sifa..
Siri moja, usifungue chupi mwambie hadi muoane, hapo utajua uko na muoaji au muonjajiWakuu kwema
Moja kwa moja kwenye mada.
Ikiwa kumpa ngono haimfanyi mwanaume kukuoa, wala kumzalia mwana pia haimfanyi mwanaume kukuoa je, nini hasa itapelekea mwanaume ulie nae akupe heshima ya ndoa?
Maana wengine wanabadili hadi dini ili kumridhisha mwanaume lakini bado haolewi. Hata ukijitahidi kuwa mwenye heshima au tabia njema utakuta anaenda oa kwingine. Au ndoa ni fate?
Karibuni kwa ushauri
am better here
Nimewahi kumshauri mtu ila nikawa kama naingilia uhuru wake, Maisha bwana yako tofauti sanaZaidi ni kwenye kushirikishwa japo muda mwingine automatically bila kushirikishwa kutegemea na mazingira ama mtu wako alivo
Kuna wengine vichwa moto hawashauriki
A man marries when he wants to..Unaweza mheshimu lkn asikuoe wala nini
am better here
Nakukata hicho kitombeoSasa kama hujiwezi ufanyiwe nini wiki inapita hata mwezi kazi nikuhesabu kama mijusi mingapi imekatiza, kifuatacho hapo nini!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mavi wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakukata hicho kitombeo
Unadhani huko kufeel utayari wa kutaka kuoa unatoka wapi?? Usiongee mambo usiyoyafahamu! Hakuna Mwanaume mjinga ambaye atakutana na mwanamke sahihi akiwa katika umri na wakati sahihi alafu aendeleze uplayer! Hata kama hakuwa na plan hiyo ila akikutana na mwanamke anayemheshimu na kujiheshimu mwenye hofu ya Mungu Mwaminifu anayemsaidia katika harakati za maisha ni vichocheo tosha kumfanya mwanaume yeyote aanze kuja kwenye line.Dada,
Hapa utapewa kila jibu sijui utii, heshima, uaminifu and all. Si kwamba ni vya uongo ila naamini na wewe unajua kuwa unaweza ukawa na hivi vyote na usiolewe vile vile.
Jibu ni hili: