Ni nini hasa kazi na umuhimu wa kuvaa nguo za ndani?

Adam baada ya kula tunda alilopewa na Eva(Hawa) ghafla wakajikuta wako Uchi.

Baadaye Mungu anamuita Adam, uko wapi mwanangu.

Adam anajibu, nimejificha Kwa kuwa nipo uchi

Hiyo ni historia ya Chanzo cha kuanza kuvaa kufuli (Chupi) Kwa Mujibu wa Biblia

Ukija Kwa upande wa Histori;
Zama za Mwanzo hadi zama za Mwisho za Mawe, Babu yako mtoa mada, pamoja na Babu wa wasomaji walikuwa wanavaa MAGOME ya Miti ili kujisitiri (Chupi).

Chukulia tungekuwa hatuvai nguo (Chupi)
Wengine tunaweza kutembea tumesimamisha, imagine hauna kizuia nyeti

Si Kila mtu angeweza kuona mnala wa Babeli wa Babu yenu 😜
 
:KasugaYeah:
 
Back
Top Bottom