Yes💪
naona unakuja vizuri sana japo unasita sita ila una kitu 🐒
Yes kujisitiri, lakini unajisitiri kuzuia nin kwa mfano 🐒
KUJISITIRI=NI KITENDO CHA KUFICHA ( TO HIDE).
KUVAA NGUO ZA NDANI KUNA UMUHIMU SANA KWA JINSIA ZOTE ILA TU HAILINGANI
KWA WANAUME,
1.tunavaa nguo za ndani aina ya boxer ili ibane nyeti kutokana na hali ya sintofahamu ya kudindisha ,so at last inakufichia aibu mbele za watu( sio vema kupita mbele ya wazazi wako umedindisha ama ikulu. )
2. Inasaidia kama dharura suruali imechanika njiani na ni mbali na nyumbani.
( hili hali hitaji pesa za kigeni lipo wazi)
KWA WANAWAKE
nguo za ndani zina umuhimu mkumbwa sana nearly tu infinity.
Na kama ukisikia mdada anasema hazina umuhimu huyo anafanya promotion ya biashara isipate hasara
1.kujisitiri kutokana na maumbile yao.
2.husaidia wakati wa hedhi .
3.huwa kama pambo
4.husaidia kuzuia bacteria tofauti tofauti a.k.a lactobacillus
5.inasaidia kwa dharura .
Mwanamke anapaswa kuvaa nguo za ndani humsaidia kujisitiri ,ila kama hauna adabu jitahidi kuwa na aibu kwa sababu ni kituko kuwa mjinga alafu unajiamini.