Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hakuna kitu sipendi kama hii ya mtu kuinama alafu mistari ya tako ipo wazi juuKwa wasichana kulinda kitumbua kwa mvulana kulinda heshima maana ni aibu mwanaume kuinama wakati unafanya kazi, tako likabaki wazi.View attachment 2964528