Ni nini hasa kiini cha chuki za viongozi wa TEC dhidi ya viongozi wa kiisilamu hasa wa Serikali Kuu?

Hivi nyie chawa huwa mnaandika baada ya kufikiria au huwa mnafikiria baada ya kuandika? Anyway, maybe you’re all brainless like your fuckin’ host!
jikite kwenye hoja bila kuweweseka gentleman
 
Hisia tu mkuu, ila hakuna chiki
Gentleman,
pale SAUT mwanza watu walikua wanahisi tu kwamba eti katibu mkuu wa TEC anapita na pisi zao wakadhani ni hisia tu, kumbe kweli bana jamaa alikua anawashughulikia kwelikweli na kuwapa alama za juu za ufaulu wa masomo but ilikua too late na kisha akahamia dar.

kwahiyo kuhisi sio jambo la kupuuzia pia
 
Nakubalina na wewe, hisia ni hatua moja wapo ya kunaini kama kweli ama si kweli.. ila mkuu Duniani sio lazima tukabaliane mawazo na mitazamo ? Na hata tunapotofautiana haina haja ya kuundiana majanga
 
Chuki yao ni kwamba kwanini wao TEC wapewe bilioni 400 kila mwaka kuendesha taasisi zao za kielimu na za kiafya wakati BAKWATA hawapewi huo mgao?
 
TEC hawajawahi msema mtu yeyote kwa chuki. Wao wanasema kweli na kweli tupu kwenye kutetea haki. Hawana longolongo.
walimsema wapi ukweli dhidi ya makasisi wanaolawiti watoto wadogo maeneo mbalimbali nchini, lakini pia walisema lini ukweli dhidi ya kasisi alieshiriki kuua na kunyofoa sehemu za mwili wa albino kwaajili ya ushirikina?

lini TEC walisema ukweli dhidi ya kasisi aliehonga hawara wake na kumpangishia nyumba na hatimae kupoteza mamilioni ya sadaka na zaka za waamini wa kanisa katoliki?
 
'Divide and rule' watu tumeshaishtukia kitambo, Godbless Lema alishaongelea hili hivyo hakuna jipya...
 
Nakubalina na wewe, hisia ni hatua moja wapo ya kunaini kama kweli ama si kweli.. ila mkuu Duniani sio lazima tukabaliane mawazo na mitazamo ? Na hata tunapotofautiana haina haja ya kuundiana majanga
binafsi sna haja ya kukubaliana na mdau yeyote wa JF,
ila natamani kuongeza uelewa na ufahamu juu ya nini hasa chimbuko la chuki za TEC dhidi ya viongozi wa serikali kuu hasa waisilamu.

kumbuka,
mimi ni mkristo mkatoliki teana mbatizwa na ninaewapenda sana viongozi wangu wa kanisa, kwa kunipa masakramenti na kunifundisha vyema katekisimu na imani katoliki
 
Itakuwa wamechukuliana mademu
 
🚮🚮🚮
 
Tlaatlaah
Hapa mbna umekimbia?
 
Nadhani ni simple, hizi ni dini mbili tofauti. Nilidhani dini hizi zinatambua uzuri na ubaya lakini kama zinatofautiana kwenye hilo basi tujue kuna dini inaamini kwenye ubaya na nyingine kwenye uzuri ndio maana zinatofautiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…