Ni nini hasa kiini cha chuki za viongozi wa TEC dhidi ya viongozi wa kiisilamu hasa wa Serikali Kuu?

Humuwezi kwa hoja bana kwakua yuko upande wa pili wa mama abduli🤣🤣
hoja yangu ni rahisi sana,
nataka kufahamu ni nini hasa kiini cha chuki za TEC dhidi ya viongozi wa serikali hasa waisilamu?
 
A heap of crap!
 
Kwa uchambuzi wangu humu hamna wakiristo labda wavuta bangi

Wakiristo gani wanatukana mitusi mikubwa mikubwa hivi
 
TEC hawana chuki na Rais ambaye ni muislamu! Sema TEC hawataki kuwa Chawa wa Serikali kwa mambo ya Msingi-Mauaji,Uporaji wa Uchaguzi,Kuteka na Kupoteza watu,Ufisadi,nk
TEC walimkosoa Mkapa,walimkosoa JPM,na atakayekuja!
 
TEC hawana chuki na Rais ambaye ni muislamu! Sema TEC hawataki kuwa Chawa wa Serikali kwa mambo ya Msingi-Mauaji,Uporaji wa Uchaguzi,Kuteka na Kupoteza watu,Ufisadi,nk
TEC walimkosoa Mkapa,walimkosoa JPM,na atakayekuja!
Ni dhambi kutetea Maovu!
 
jikite kwenye hoja bila porojo na mapichapicha useless gentleman?

kwanini TEC INAELEKEZA CHUKI ZAIDI KWA VIONGOZI WA SERIKALI KUU HASA WAISILAMU?

huna haja ya kuleta porojo za kutafuta public sympathy
This exposes your lack of intelligence, nimekuelezea exactly how the whole shit is sasa kana hauna upeo wa kuelewa then this topic is beyond your level.
Hakuna chuki kwa kiongozi yoyote bali kuna kuzungumza yale yasiyo sawa katika utawala huu dhalimu
-Je watu hawatekwi?
-Je watu hawapotezwi?
-Je watu hawauawi?
-Je watu hawafirwi?
Kila anayepaza sauti kulalamikia yale yasiyo sawa yanamkuta majanga, watu waache kupaza sauti kwa kuwa ikulu imekaliwa na muislamu?
Your browser is not able to display this video.
 
kufira ni haki ya maksisi wa kanisa katoliki chini ya TEC, right?
au makasisi kuua maalbino na kunyofoa viungo kwasababu za kishirikina ni sakramenti inayotolewa na TEC kwa makasisi wake?
 
kufira ni haki ya maksisi wa kanisa katoliki chini ya TEC, right?
au makasisi kuua maalbino na kunyofoa viungo kwasababu za kishirikina ni sakramenti inayotolewa na TEC kwa makasisi wake?
Imbecile exposing yourself, nimekuwekea clip ya Samia na genge lake wanayoyafanya nawe uweke clip ya yale unayoyadai. Ikishindakaba(obviously mashehe ubwabwa mnawaza kukata watu na majambia tu na kwakuwa y'all can't deal with critical arguments.
Haya yamezidi upeo wa uelewa wako, hebu jibu tu haya yaliyo simple na straightforward:
-Watu wasilalamikie utekaji kwa kuwa Samia ni muislamu?
-Watu wasilalamikie uuaji kwa kuwa Samia ni muislamu?
-Watu wasiulizie zilipofukiwa maiti za ndugu zao kwa kuwa Samia ni muislamu?
 
jieleze tu kwa maandishi gentleman hakuna haja ya maclip ya mchongo na porojo za patapotea?

halafu,
napenda kujua tu nini hasa kiini cha chuki binafsi za viongozi wa TEC dhidi ya viongozi wa serikali hasa waisilamu?

lalamika uwezavyo but natamani kufahamu hicho hapo juu tu gentleman
 
Nchi hii hakuna mijitu mijinga kama CCM...
 
jikite kwenye hoja bila mihemko gentleman

Ujinga ukishatangulia mbele, ni shida...

Mithali 9
6 Enyi wajinga, acheni ujinga, mkaishi, Mkaende katika njia ya ufahamu.
 
Hahahahaa waliokufa walikua wakristo pekee?
 
Wakatoliki wameawaachia serikali Ndanda High School ili watu wa dini zote wa Kusini wapate elimu.
Wana hospital kubwa kiwango kinachofanana na za rufaa hapo Ndanda inayotoa huduma kwa wote.
Wana hospital Nyangao, na vyuo vya uugyzi na ufundi maeneo hayo ya Ndanda na Nyangao.
Niambie waislam wa BAKWATA wamefanya nini kuendeleza waislam wenzao wa maeneo hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…