SawaNdugu yangu, tatizo katiba ya sasa ya Tz ina 'loopholes' nyingi ambazo kiasi kwamba haziwezi kumwajibisha mtu yeyote hata kama anafanya 'madudu' au kwenda kinyume na katiba na vipengele vingi ambavyo bado vinaruhusu watu kutowajibika kwa wananchi,maana wanajua hakuna kitu mnaweza kufanya...... kaazi kwelikweli......bitter truth'
Nimekusoma MkuuKama haina msaada acheni kulalamika acha pesa zipigwe
CHADEMA utawalaumu bure. Walijitahidi kuondoa hao akina Mzee Halima tangu mwanzo, Ndugai akawakingia kifua. Sasa Tulia anaendeleza!Nimewaza sana hivi sisi watanzania ni wajinga kiasi hiki ,Tunakatwa kodi na Tozo ,tunaishi maisha magumu ili kulisha Wanasiasa ?
Ni takribani miaka 2 sasa tangu wabunge wa CHADEMA wanao daiwa kuingia bungeni kinyume na utaaratibu kuwepo bungeni .
Pesa zetu zinapigwa CHADEMA wamechukua zaidi ya miezi 18 kusikiliza rufaa ya Wabunge hao 19 bila sababu yoyote
Serikali kupitia Bunge iko kimya na kuendelea kulipa hayo mamilioni yanayodaiwa kulipwa kwa Hao wabunge kinyume cha sheria na utaratibu.
Ukiangalia kwa Umakini si CHADEMA wala Serikali yenye Uchungu na Hizi Pesa za Wananchi .
Hivi ni nani wa Kutusaidia sisi Wananchi pesa zetu zisiliwe kijinga hivi ? Maana ukiangalia ni kama maigizo tu ili ifike 2025 .
Usiilaumu CHADEMA.... Imefanya kinachostahili kufanyika na haina mawaa tena kwenye hilo na IMESHAMALIZANA NAO
Cha muhimu jiandae tu kisaikolojia kwakuwa hao watakuwa wabunge wa mbeleko mpaka 2025 kama mahakama nayo itatumika kisiasa
Unajua nini wewe sister?Katiba ya CHADEMA tu hamuiwez kuifuata mtaiweza ya nchi mkishika dola?😁
Kama CHADEMA iliweza kubadili kipengele cha ukomo wa uongozi ktk katiba yake kitashindwa kubadili ktk katiba ya nchi kikishika dola?😁
Poa mkuuNimekusoma Mkuu
Hahaha Mwigulu ashawahi kuwa na majibu ya KuelewekaCHADEMA utawalaumu bure. Walijitahidi kuondoa hao akina Mzee Halima tangu mwanzo, Ndugai akawakingia kifua. Sasa Tulia anaendeleza!
Tatizo ni kuwa nchi imegeuzwa shamba la bibi', hakuna mlinzi, wanavuna tuu!
Mwigulu Nchemba njoo usaidie kujibu kwa nini fedha za walipa Kodi maskini zinatafunwa kimasihara huku mmekodoa tu macho?!!
dah yaani
Shida yako nini? Unaamini tukiwatoa kodi hazitakatwa? Mungepeleka mnaowataka tusingekatwa kodi au ndo zingeenda hela kihalali? Acha wapiganie nchi wamama hawa, waliwaongezea umaarufu CHADEMA bila malipo yoyote acha wajilipe kupitia umaarufu waliowaleteeni. 😀 hujui tu, kadri mnavyoifuatlia hii kesi ndo mnajiongezea umaarufu so msikate tamaa kujitangaza kupitia covid 19.Nimewaza sana hivi sisi watanzania ni wajinga kiasi hiki ,Tunakatwa kodi na Tozo ,tunaishi maisha magumu ili kulisha Wanasiasa ?
Ni takribani miaka 2 sasa tangu wabunge wa CHADEMA wanao daiwa kuingia bungeni kinyume na utaaratibu kuwepo bungeni .
Pesa zetu zinapigwa CHADEMA wamechukua zaidi ya miezi 18 kusikiliza rufaa ya Wabunge hao 19 bila sababu yoyote
Serikali kupitia Bunge iko kimya na kuendelea kulipa hayo mamilioni yanayodaiwa kulipwa kwa Hao wabunge kinyume cha sheria na utaratibu.
Ukiangalia kwa Umakini si CHADEMA wala Serikali yenye Uchungu na Hizi Pesa za Wananchi .
Hivi ni nani wa Kutusaidia sisi Wananchi pesa zetu zisiliwe kijinga hivi ? Maana ukiangalia ni kama maigizo tu ili ifike 2025 .
Hivi pale bungeni wapo kwa tiketi ya chama gani??Una uthubitisho gani kuwa wameingia kinyume na utaratibu? Mahakama ndiyo itatupa mwanga na si vinginevyoh
Shida ni kutolipwa kihalaliShida yako nini? Unaamini tukiwatoa kodi hazitakatwa? Mungepeleka mnaowataka tusingekatwa kodi au ndo zingeenda hela kihalali? Acha wapiganie nchi wamama hawa, waliwaongezea umaarufu CHADEMA bila malipo yoyote acha wajilipe kupitia umaarufu waliowaleteeni. 😀 hujui tu, kadri mnavyoifuatlia hii kesi ndo mnajiongezea umaarufu so msikate tamaa kujitangaza kupitia covid 19.
Je wanaweza kuwa wametafuna bilioni ngapi mpka sasa??Nimewaza sana hivi sisi watanzania ni wajinga kiasi hiki ,Tunakatwa kodi na Tozo ,tunaishi maisha magumu ili kulisha Wanasiasa ?
Ni takribani miaka 2 sasa tangu wabunge wa CHADEMA wanao daiwa kuingia bungeni kinyume na utaaratibu kuwepo bungeni .
Pesa zetu zinapigwa CHADEMA wamechukua zaidi ya miezi 18 kusikiliza rufaa ya Wabunge hao 19 bila sababu yoyote
Serikali kupitia Bunge iko kimya na kuendelea kulipa hayo mamilioni yanayodaiwa kulipwa kwa Hao wabunge kinyume cha sheria na utaratibu.
Ukiangalia kwa Umakini si CHADEMA wala Serikali yenye Uchungu na Hizi Pesa za Wananchi .
Hivi ni nani wa Kutusaidia sisi Wananchi pesa zetu zisiliwe kijinga hivi ? Maana ukiangalia ni kama maigizo tu ili ifike 2025 .
Tatizo wanaccm wanafikiri kuwang'ang'ania covid19 ni kuikomoa chadema, wanasahau kuwa chadema wameshamaliza sehemu yao. Tunaokomolewa ni sisi walipa kodi.Nimewaza sana hivi sisi watanzania ni wajinga kiasi hiki ,Tunakatwa kodi na Tozo ,tunaishi maisha magumu ili kulisha Wanasiasa ? Ni takribani miaka 2 sasa tangu wabunge wa CHADEMA wanao daiwa kuingia bungeni kinyume na utaaratibu kuwepo bungeni . Pesa zetu zinapigwa CHADEMA wamechukua zaidi ya miezi 18 kusikiliza rufaa ya Wabunge hao 19 bila sababu yoyote Serikali kupitia Bunge iko kimya na kuendelea kulipa hayo mamilioni yanayodaiwa kulipwa kwa Hao wabunge kinyume cha sheria na utaratibu. Ukiangalia kwa Umakini si CHADEMA wala Serikali yenye Uchungu na Hizi Pesa za Wananchi . Hivi ni nani wa Kutusaidia sisi Wananchi pesa zetu zisiliwe kijinga hivi ? Maana ukiangalia ni kama maigizo tu ili ifike 2025 .
Siwezi jua hesabu kamili mkuuJe wanaweza kuwa wametafuna bilioni ngapi mpka sasa??
Wachaaaa, kwani bado hawajavuliwa uanachama wao??chadema
Wanafanya kazi kwa nini wasilipwe? Wangekuwa home then wakalipwa sawa, lakini wanahudhuria kwenye kazi basi wako sawa.Shida ni kutolipwa kihalali
Basi na wewe kesho nenda kafanye kazi bungeni!Wanafanya kazi kwa nini wasilipwe? Wangekuwa home then wakalipwa sawa, lakini wanahudhuria kwenye kazi basi wako sawa.