Ni nini hatma ya Pesa zetu zilizotafunwa na zinazotafunwa na Hawa wabunge 19? Watanzania tumefanywa wajinga kiasi hiki?

Ndugu yangu, tatizo katiba ya sasa ya Tz ina 'loopholes' nyingi ambazo kiasi kwamba haziwezi kumwajibisha mtu yeyote hata kama anafanya 'madudu' au kwenda kinyume na katiba na vipengele vingi ambavyo bado vinaruhusu watu kutowajibika kwa wananchi,maana wanajua hakuna kitu mnaweza kufanya...... kaazi kwelikweli......bitter truth'
Sawa
 
Nimewaza sana hivi sisi watanzania ni wajinga kiasi hiki ,Tunakatwa kodi na Tozo ,tunaishi maisha magumu ili kulisha Wanasiasa ?

Ni takribani miaka 2 sasa tangu wabunge wa CHADEMA wanao daiwa kuingia bungeni kinyume na utaaratibu kuwepo bungeni .

Pesa zetu zinapigwa CHADEMA wamechukua zaidi ya miezi 18 kusikiliza rufaa ya Wabunge hao 19 bila sababu yoyote

Serikali kupitia Bunge iko kimya na kuendelea kulipa hayo mamilioni yanayodaiwa kulipwa kwa Hao wabunge kinyume cha sheria na utaratibu.

Ukiangalia kwa Umakini si CHADEMA wala Serikali yenye Uchungu na Hizi Pesa za Wananchi .

Hivi ni nani wa Kutusaidia sisi Wananchi pesa zetu zisiliwe kijinga hivi ? Maana ukiangalia ni kama maigizo tu ili ifike 2025 .
CHADEMA utawalaumu bure. Walijitahidi kuondoa hao akina Mzee Halima tangu mwanzo, Ndugai akawakingia kifua. Sasa Tulia anaendeleza!

Tatizo ni kuwa nchi imegeuzwa shamba la bibi', hakuna mlinzi, wanavuna tuu!

Mwigulu Nchemba njoo usaidie kujibu kwa nini fedha za walipa Kodi maskini zinatafunwa kimasihara huku mmekodoa tu macho?!!
 
Usiilaumu CHADEMA.... Imefanya kinachostahili kufanyika na haina mawaa tena kwenye hilo na IMESHAMALIZANA NAO
Cha muhimu jiandae tu kisaikolojia kwakuwa hao watakuwa wabunge wa mbeleko mpaka 2025 kama mahakama nayo itatumika kisiasa

Kamati kuu ya Chadema ilifanya maamuzi 2020,
Kisha Baraza kuu limekuja kubariki 2022

Na hapo Baraza kuu lilikaa baada ya Mbowe kumalizana na Serikali ktk kesi yake, vingnevyo kama kesi ingeendelea kusomwa basi maamuzi ya hiki chama juu ya hawa wabunge yasingefanyika

Ndio maana baadhi ya watu wanasema hiki chama kinategemea mtu mmoja tu,,, MBOWE

Na mtoa hoja anailaumu chadema kwa delays
 
  • Thanks
Reactions: RNA
CHADEMA utawalaumu bure. Walijitahidi kuondoa hao akina Mzee Halima tangu mwanzo, Ndugai akawakingia kifua. Sasa Tulia anaendeleza!

Tatizo ni kuwa nchi imegeuzwa shamba la bibi', hakuna mlinzi, wanavuna tuu!

Mwigulu Nchemba njoo usaidie kujibu kwa nini fedha za walipa Kodi maskini zinatafunwa kimasihara huku mmekodoa tu macho?!!
Hahaha Mwigulu ashawahi kuwa na majibu ya Kueleweka
 
Nimewaza sana hivi sisi watanzania ni wajinga kiasi hiki ,Tunakatwa kodi na Tozo ,tunaishi maisha magumu ili kulisha Wanasiasa ?

Ni takribani miaka 2 sasa tangu wabunge wa CHADEMA wanao daiwa kuingia bungeni kinyume na utaaratibu kuwepo bungeni .

Pesa zetu zinapigwa CHADEMA wamechukua zaidi ya miezi 18 kusikiliza rufaa ya Wabunge hao 19 bila sababu yoyote

Serikali kupitia Bunge iko kimya na kuendelea kulipa hayo mamilioni yanayodaiwa kulipwa kwa Hao wabunge kinyume cha sheria na utaratibu.

Ukiangalia kwa Umakini si CHADEMA wala Serikali yenye Uchungu na Hizi Pesa za Wananchi .

Hivi ni nani wa Kutusaidia sisi Wananchi pesa zetu zisiliwe kijinga hivi ? Maana ukiangalia ni kama maigizo tu ili ifike 2025 .
Shida yako nini? Unaamini tukiwatoa kodi hazitakatwa? Mungepeleka mnaowataka tusingekatwa kodi au ndo zingeenda hela kihalali? Acha wapiganie nchi wamama hawa, waliwaongezea umaarufu CHADEMA bila malipo yoyote acha wajilipe kupitia umaarufu waliowaleteeni. 😀 hujui tu, kadri mnavyoifuatlia hii kesi ndo mnajiongezea umaarufu so msikate tamaa kujitangaza kupitia covid 19.
 
Wanakopakopa , na kukata tozo hovyo hovyo watanzania ili kulipa Mambo ya kipumbavu Kama haya. Nchi ina madeni makubwa, hali ya kuangaika lakini wapo watu wazima mliowapa dhamana na heshima wanafanya hovyo wakiona watanzania huwa wajinga ma leziafea. Mnafurahia kusifiwa,kupigiwa MAKOFI ya kinafiki
 
Kutawala Taifa lisilo na uchungu na mali zake za umma, lisilofikiri hata kufanya demonstrations kupinga lolote linalofanyika ndivyo sivyo ni rahisi mno, you rule the way you want, hata ukipindisha sheria na katiba wananchi wanasema "Hewalaa bwana mkubwaa.."

Viva Tanzaniaaa !!

Waacheni hao 19 wale pesa maana si za kwenu za mfukoni.
 
Shida yako nini? Unaamini tukiwatoa kodi hazitakatwa? Mungepeleka mnaowataka tusingekatwa kodi au ndo zingeenda hela kihalali? Acha wapiganie nchi wamama hawa, waliwaongezea umaarufu CHADEMA bila malipo yoyote acha wajilipe kupitia umaarufu waliowaleteeni. 😀 hujui tu, kadri mnavyoifuatlia hii kesi ndo mnajiongezea umaarufu so msikate tamaa kujitangaza kupitia covid 19.
Shida ni kutolipwa kihalali
 
Nimewaza sana hivi sisi watanzania ni wajinga kiasi hiki ,Tunakatwa kodi na Tozo ,tunaishi maisha magumu ili kulisha Wanasiasa ?

Ni takribani miaka 2 sasa tangu wabunge wa CHADEMA wanao daiwa kuingia bungeni kinyume na utaaratibu kuwepo bungeni .

Pesa zetu zinapigwa CHADEMA wamechukua zaidi ya miezi 18 kusikiliza rufaa ya Wabunge hao 19 bila sababu yoyote

Serikali kupitia Bunge iko kimya na kuendelea kulipa hayo mamilioni yanayodaiwa kulipwa kwa Hao wabunge kinyume cha sheria na utaratibu.

Ukiangalia kwa Umakini si CHADEMA wala Serikali yenye Uchungu na Hizi Pesa za Wananchi .

Hivi ni nani wa Kutusaidia sisi Wananchi pesa zetu zisiliwe kijinga hivi ? Maana ukiangalia ni kama maigizo tu ili ifike 2025 .
Je wanaweza kuwa wametafuna bilioni ngapi mpka sasa??
 
Nimewaza sana hivi sisi watanzania ni wajinga kiasi hiki ,Tunakatwa kodi na Tozo ,tunaishi maisha magumu ili kulisha Wanasiasa ? Ni takribani miaka 2 sasa tangu wabunge wa CHADEMA wanao daiwa kuingia bungeni kinyume na utaaratibu kuwepo bungeni . Pesa zetu zinapigwa CHADEMA wamechukua zaidi ya miezi 18 kusikiliza rufaa ya Wabunge hao 19 bila sababu yoyote Serikali kupitia Bunge iko kimya na kuendelea kulipa hayo mamilioni yanayodaiwa kulipwa kwa Hao wabunge kinyume cha sheria na utaratibu. Ukiangalia kwa Umakini si CHADEMA wala Serikali yenye Uchungu na Hizi Pesa za Wananchi . Hivi ni nani wa Kutusaidia sisi Wananchi pesa zetu zisiliwe kijinga hivi ? Maana ukiangalia ni kama maigizo tu ili ifike 2025 .
Tatizo wanaccm wanafikiri kuwang'ang'ania covid19 ni kuikomoa chadema, wanasahau kuwa chadema wameshamaliza sehemu yao. Tunaokomolewa ni sisi walipa kodi.
 
Back
Top Bottom