- Thread starter
- #21
SawaNdugu yangu, tatizo katiba ya sasa ya Tz ina 'loopholes' nyingi ambazo kiasi kwamba haziwezi kumwajibisha mtu yeyote hata kama anafanya 'madudu' au kwenda kinyume na katiba na vipengele vingi ambavyo bado vinaruhusu watu kutowajibika kwa wananchi,maana wanajua hakuna kitu mnaweza kufanya...... kaazi kwelikweli......bitter truth'